ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haina sera wala Agenda 2020. Miaka 60 yatosha, sasa ipumzike

    Habari wajumbe wangu! Kwakweli kabisa bila kupepesa macho nasema ukweli kwamba CCM hakuna ajenda wala sera. Mambo ni yale yale miaka yote wamekua wakiyaahidi na kila ikifika uchaguzi wanayarudia tena. Chama hili sasa limekosa Uhalali wa mamlaka ya wananchi kuongoza nchi kinapaswa kuadhibiwa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama wagombea urais wenye 'akili' kama huyu 'wanaifagilia' waziwazi CCM, wewe ni nani uichukie na kuikataa?

    "CCM sio mbaya ila kuna baadhi ya watendaji wanafanya mambo yanapelekea watu kuja kuichukia CCM..CCM naipenda kutokana na ile mifumo ila kuna baadhi wanayoyafanya watendaji sio mazuri, CCM ingekuwa mbaya tusingekuwa na amani".Mgombea Urais (Demokrasia Makini) Cecilia Mmanga' ITV Tanzania...
  3. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mrema na wanachama wa TLP wamlaki Magufuli Himo, awaombea kura wagombea wa CCM na kumzawadia Magufuli Mbuzi

    TLP leo imemlaki Magufuli katika eneo la Himo jimboni Vunjo. Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha TLP Mzee Agustino Lyatonga Mrema Akizungumza mara baada ya Rais kumpa nafasi ya kumuombea kura, Mrema amewaambia watu wa Himo na Vunjo kuwa kura zote kwa Rais Dk. John Pombe...
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kui - outsmart CCM kwenye ishu ya mawakala katika vituo vya kupigia kura

    UTANGULIZI: ¶• Nianze kwa kutoa FACT CHECKS zifuatazo: FACT No. 1; Ni wazi kuwa uchaguzi wa mwaka huu katika ngazi ya Urais atakuwa aidha Tundu Lissu (CHADEMA) ama John Magufuli (CCM) kuchaguliwa tena kuendelea.. FACT No. 2; Kwa Tanganyika katika nafasi ya Urais, CCM wameelekeza silaha na...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aombewa baraka na masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro akiwa Moshi Mjini, Kilimanjaro

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM. Masista hao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa...
  6. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM yataja siri ya wagombea wake kutoenguliwa NEC

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetoa siri kuhusu wagombea wake kutoenguliwa na Tume ya Uchaguzi kwenye uchaguzi huu mkuu kwa kigezo cha kishindwa kujaza fomu. Aliyefichua siri hiyo alikuwa ni katibu mkuu wa chama hicho Dkt. Bashiru Ally, katika mahojiano na shirika la utangazaji la BBC, kuhusiana...
  7. UKWELIYAKINIFU

    JamiiForums Tanzania Mikoa yetu katika Ilani za CCM na CHADEMA

    Wakati watanzania wakiendelea kutafakari kable ya kuamua watakichagua chama gani kushika dola, miongoni mwa mambo yanayoweza kuwaongoza ni namna ambavyo vyama vya siasa vimezingatia mahitaji ya maeneo wanamoishi wapigakura, na hivyo kata, wilaya na/au mikoa yao. Mbali na kuangalia mahitaji ya...
  8. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

    Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza. Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Korogwe mlikuwa mnamdanganya nani? Kwanini mlijaza wanafunzi mkutanoni?

    CCM mmetia aibu ya mwaka huko Bagamoyo, Pwani jana na leo huko Korogwe, Tanga. Shule zilifungwa na kuamuru wanafunzi na walimu wao kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Magufuli. Nawaulizeni CCM, lengo la kufanya ujinga huu ni nini hasa? Mnamdanganya nani?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini GENTAMYCINE 'nitamchagua' haraka sana Mgombea 'Urais' wa CCM Dkt. Magufuli hiyo 28, Oktoba 2020?

    1. Mthubutu wa Maendeleo ya Watanzania na Tanzania 2. Anajiamini na haogopi wala hatishiki kama Sifa Kuu ya Amiri Jeshi Mkuu makini 3. Ana Unyerere 40% na Usokoine 60% ambavyo vinamsaidia sana kumfanya akubalike na Werevu wengi duniani 4. Si Mnafiki, ni Muwazi, Mkweli huku akiwa si mpenda...
  11. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Misingi ya katiba yetu na uchaguzi mkuu: CCM na viongozi wa dini mnaijua/ mnaikumbuka/ mmeisoma?

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo ni uhuru, haki, udugu na amani. Nukuu yake ni: "KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi wa wazi na haki kama CCM maoni, ungetutibu sote

    Amani ya nchi hii ilikuwa ya thamani mno kiasi kumtaka kila mmoja wetu kufanya yote yawezekanayo kuhakikisha kuwa hatutetereki lilikuwa si jambo la kupuuzwa. Tume kwa kuendesha uchaguzi wa wazi na wa haki tu kungefanya mamlaka zote (hasa za kutumia mabavu) kubakia likizo. Walishindwa waziwazi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sisi Waalimu tuongee kwa lugha gani mtuelewe?

    Sisi walimu tumepanda madaraja 2018 na mabadiriko ya mshahara hayakuwepo hadi ilipofika 2019 October. Tumejaza fomu za kudai mapunjo ya mshahara hatujalipwa hadi leo hii? Tuongee kwa lugha gani hadi muelewe?Acheni hizo jeuri bana,
  14. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni CCM. Wapiga kura wote walikuwepo ukumbini kuangalia kura zinavyohesabiwa. Kwanini Nec iwe na mashaka kwa watu kuwepo nje ya vituo

    Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani. Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa...
  15. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi na Amani ya Nchi ndio msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani

    Salaam wana JF. Nianze andiko hili kwa kusema kuwa ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi wa mwaka huu utatokana na nguzo imara za "Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi, haki na Amani ya Nchi, hizi ndizo hoja za msingi wa kuipa kura CCM Bara na Visiwani wala si...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

    Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
  17. B

    JamiiForums Tanzania CCM tuhubiri na Haki sio Amani tu

    Ukimsikiliza kila kiongozi ndani ya chama chetu cha CCM kuanzia kwa mgombea wetu John Pombe Magufuli na wengine wote hakuna anayetamani kugusia neno Haki katika mikutano yao kila mmoja anahubiri Amani tu, hii si sahihi. Amani ni zao la HAKI, hebu tuichambue kauli hii au sentensi hii kwa undani...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Upinzani hauwezi kushinda bila kuipasua CCM katikati

    Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu. Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna anayeisema CCM kwa wema, Tanzania nzima wanalalamika (95% wanailaumu CCM)

    Hakuna hakuna hakuna, mitaani kote nimefanya survey kubwa Tanzania nzima kwakweli kila kwenye watu mia basi watano ndio watasema CCM imefanya mazuri na yanahesabika. Ila wanaoiponda kwa ubaya wanayasema na hayana idadi ni malalamiko mengi sana. Kuanzia wajasiriamali mpaka waliomo serikalini...
  20. kidadari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

    Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini. Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
Back
Top Bottom