Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,435
- 283,718
Huyu mtu aliyepiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM?
Pierre Liquid ameuchapa usingizi huku kashikilia mifuko ya suruali yaani pamoja na kuzungukwa na wana Lumumba wenzie lakini anajua hao wenzie wanaweza kuondoka na chochote alichonacho mfukoni. Hizi tetesi za kura kupotea Pierre anajua vitu zaidi ya kura anaweza kupoteza akiwa amezungukwa na wanaLumumba.Ni bro ake na huyu.View attachment 1618322
Katibu wa Polepole huyu jamaaHuyu mtu aliyeiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Huyu ni poison master , he was the one who poisoned Deputy CCM chairman Phillip Mangula by order from above . One of the tiss officers.Huyu mtu aliyeiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Pierre Liquid ameuchapa usingizi huku kashikilia mifuko ya suruali yaani pamoja na kuzungukwa na wanaLumumba wenzie lakini anajua hao wenzie wanaweza kuondoka na chochote alichonacho mfukoni. Hizi tetesi za kura kupotea Pierre anajua vitu zaidi ya kura anaweza kupoteza akiwa amezungukwa na wanaLumumba.
Inasemekana ni silent killerHuyu mtu aliyeiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Shukrani sana mkuuKatibu wa Polepole huyu jamaa
if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.Huyu mtu aliyeiga picha na Dkt. Magufuli ana cheo gani ndani ya CCM ?View attachment 1618318
Aisee!if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.
Aisee !
Una maana huyo ndiyo alimteketeza mkapa?
Hata nae alikuwa ni mnufaika angepigwa nyumba Kama tatu hivi za ustaafu angeufyata Kama mzee mwinyi.Duuh ,nimemkumbuka Mzee BM.
Angekuwepo sidhania kama angekaa kimya tuu bila kusema Chochote..
Hako kaone tu hivyo kanaweza kukugongea zaidi ya miaka Mia kwasababu ni mbishi kufa. Ndio hapo ujue Mungu ni pendo na tofauti kwasababu kila siku watoto wadogo wanakufa lakini mijitu kama hii na dingi yake aliyekuwa Waziri wa ulinzi badoif you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa mti.