bwana

This is a list of English language words that come from the Niger-Congo languages.
It excludes placenames except where they have become common words.

View More On Wikipedia.org
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Bwana Ahmed Ally Sisi tuliofeli Form Four Tuhame Simba?

    Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Mzawa wa Marekani bwana Karrem Nasr akamatwa kujiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa kidini

    Marekani itakuja kujutia kwa kuruhusu mazombi yaje na kuzaliana humo.... A New Jersey man arrested in Kenya has been charged for trying to aid terrorist group al-Shabaab, the US Justice Department said, alleging he was motivated by Hamas' Oct. 7 attack on Israel to wage violence. The arrest...
  3. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

    Jambo iko? Kwanza merry christmass Kuna mrembo amepigwa huku amapiano!🙆‍♂️ Amemfumania mpenzi wake Christmas hii akiwa na shogake wa miaka mingi kwa hotel tamu hapo posta, tena usiku. Tena alitonywa na msamaria mwema tu maskini. Sasa ananiuliza afanyaje? Haya maisha bwana; mwingine anazaliwa...
  4. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Mwaka 2014 kuna bwana mdogo, alikataa shule akiwa form two, akidai kuwa hapandishi, ni kweli hakuwa akifanya vizuri darasani. Akawa ni mtu wa kwenda minadani tu. Mwaka 2018, aliomba msaada wa sh 210,000 ambapo alidai anaenda nunua mbuzi kwa ajili ya kuanza kuuza. Sikua na mawasiliano naye ya...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
  6. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Sisi wanawake bwana!

    kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah Kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya...
  7. Nifah

    JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Ndoa ndoano! Mambo sio mambo! Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi. Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

    Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori. Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, anaweza kujenga chama, kudhibiti nidhamu ya chama, akiwemo yule bwana mdogo

    Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake. Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano. Namshauri SSH...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bwana weee kumbe walisawazisha

    Bwana weeeee kumbe walisawazisha dakika za mwishoni🤔🤔🤔
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa meya wa Johanesburg, bwana Amad aweka post ya kuunga ugaidi wa HAMAS

    Duh! Afrika Kusini wanalo, kama ilifika wakaachia mazombi ya kidini mpaka yakafikia uongozi wa kuwa meya A former mayor of Johannesburg, South Africa posts online a picture of himself holding an assault rifle accompanied with the words “we stand with Hamas,” before quickly pulling it offline...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania RC Makalla achana na Makonda vinginevyo utakwenda na maji

    Baada ya ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ndugu Paul Makonda kufikia tamati huko Mkoani Mwanza, yapo maagizo halali ya Chama aliyoyaelekeza kwa Watendaji wa Serikali Mkoani humo wayatekeleze kwa maslahi mapana ya Wananchi. Ajabu, Mkuu wa Mkoa huo ameanza kupuuza huku akimnanga bwana...
  13. Kaghambe

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

    Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka😁😁😁😁 Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Bwana harusi amegoma kuoa siku ya harusi sababu mke mtarajiwa hana bikra huku amlimdangaya anayo

    Habari wadau. Video inajieleza vizuri
  15. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Hayati Magufuli kuhusu umeme

  16. T

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop talkin do act

    Waziri wa Nishati Bwana Dotto awa TANESCO wanafanya makusudi, walifanya hivi wakati Makamba alivyoanza na nikasema, sasa hivi wewe. Stop just talk with the press nenda eneo la tukio ujue shida ni nini. Hao jamaa ni wahuni
  18. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

    Dear Money Penny YAH: BWANA WANGU ANAENDESHA BODABODA Mimi NI binti ambae sikuwahi kuwa kwenye mahusiano nikiwa chuoni. Nilikuwa busy na masomo na ibada za casfeta. Mapenzi yangu yalikuwa Kwa Yesu. Baada ya kumaliza masomo sikupata KAZI, nikasota benchi Kwa Miaka 5, wenzangu nilisoma NAO...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bibi na Bwana wameondolewa katika nembo ya taifa inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia

    Salaaam Wakuu, Nimeona katika sehemu mbalimbali picha zikisambaa zikionesha nembo inayotumika kwenye Podium ya Rais Samia haina bibi na bwana kama ambayo alikuwa anaitumia Rais Magufuli. Hili limekaaje Wakuu tunaomba ufafanuzi. Nembo anayotumia Rais Samia ikiwa haina Bibi na Bwana Nembo...
Back
Top Bottom