Mzawa wa Marekani bwana Karrem Nasr akamatwa kujiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa kidini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Marekani itakuja kujutia kwa kuruhusu mazombi yaje na kuzaliana humo....

fsdfdsfdsfdsfds_nero0v.jpg

A New Jersey man arrested in Kenya has been charged for trying to aid terrorist group al-Shabaab, the US Justice Department said, alleging he was motivated by Hamas' Oct. 7 attack on Israel to wage violence.

The arrest comes amid heightened incidents of antisemitism and Islamophobia in the wake of the Israel-Gaza war, which have raised terror threat levels in the United States.

Karrem Nasr, a US citizen who moved from New Jersey to Egypt around July, was taken into custody in Nairobi on Dec. 14 and brought to the United States on Thursday, the Justice Department said in a statement on Friday.
 
Hii mada haina tofauti na ile ya kulihusisha Kanisa Katoliki na ushoga. Kisa tu Papa ametoa kauli yenye mkanganyiko kwao.

Imagine kuna mtu hapa katuhumiwa kwa ugaidi, ila shutuma zote zinapelekwa kwenye dini ya Uislam!
 
Wakiristo Hawaoi na hawazai. Waislamu wanaoa 4 na kuzaa watoto tele. Wanawake wa kikiristo wanataka joto watalipata wapi? Itabidi wasilimu wapate joto la wanaume wa kiislam
 
Wakristo hawaoi na hawazai??? Aisei madrassa inawafanya mazombi kila siku....kazi kuvaa mikanzu na kuotesha mindevu na kuzurula....
 
Hii mada haina tofauti na ile ya kulihusisha Kanisa Katoliki na ushoga. Kisa tu Papa ametoa kauli yenye mkanganyiko kwao.

Imagine kuna mtu hapa katuhumiwa kwa ugaidi, ila shutuma zote zinapelekwa kwenye dini ya Uislam!

Kwa hiyo utetezi wako ni kwamba kakamatwa tu kisa ni muislamu, yaani huwa mnaboa hadi basi.....mtiwe adabu tu.
 
Mkuu yani ukiona dini inachochea umalaya na watu wanaiona eti ni takatifu ujue tu wanamatatizo ya akili,ndiosababu hata nchi za kiislamu hazna maendeleo Wala miji ya kiislam
 
Kwa hiyo utetezi wako ni kwamba kakamatwa tu kisa ni muislamu, yaani huwa mnaboa hadi basi.....mtiwe adabu tu.
Hakuna utetezi hapa. Nimemaanisha kosa la mtu mmoja, lisichukuliwe kama kosa la taasisi yote. Yaani huyo jamaa ahukumiwe kwa matendo yake, na siyo kwa dini yake.
 
Back
Top Bottom