bunge

  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Enyi Wapinzani wa kweli Chadema na ACT waelimisheni wananchi juu ya bunge lijalo.

    Nawaomba Sana wapinzani Tanzania nzima,waelimisheni wananchi Tanzania nzima wasiwachague wabunge kupitia CCM. CCM inahitaji wabunge wengi ili kubadili kipengele Cha katiba Kuondoa ukomo wa Uraisi. Siongei majungu,wanatafuta tu idadi ya kutosha ya wabunge wa Ndioooooo. Kumbuka Nkamia alitoa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi ajiuzulu na kumpisha naibu wake

    Spika wa Bunge la Kaunti ya Nairobi Beatrice Elachi amejiuzulu baada ya mgogoro wa uongozi uliomuhusisha Gavana Mike Sonko na sehemu ya mawakilishi wadi. Elachi alimteua naibu wake John Kamangu katika nafasi ya kuwa kaimu spika huku taarifa rasmi ikisubiriwa. Spika huyo anayezingirwa na utata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  4. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  5. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Uganda laanzisha Viti Maalum vya wazee

    Bunge la Uganda limepitisha muswada unaoidhinisha kuanzishwa kwa viti vitano vya wawakilishi wazee, lakini sharti mmoja awe mwanamke. Uwakilishi wa wazee bungeni kama kundi maalumu, pamoja na kuandaa mpango wa kuchaguliwa kwao kupitia mabaraza maalumu, ni takwa la katiba. Umri wa mwakilishi...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye aongezewe nafasi 20 zaidi za teuzi za Wabunge, Bunge lijalo litajaa vihiyo wengi, tukifuata Demokrasia ya Kura za Maoni

    Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kama sheria haijapitishwa na Bunge na haijafuata Katiba, Sheria hiyo ni batili. Kanuni mpya za mitandao ni batili

    (1) Katiba hutoa madaraka kwa Bunge kupitisha sheria. SHERIA lazima iwe within 4 walls ya katiba-la sivyo sheria ni batili. Sheria inatoa madaraka kwa Waziri au taasisi nyingine (k.m TCRA) kutunga KANUNI. Kanuni lazima ziwe within 4 walls ya sheria mama na Katiba-la sivyo ni batili. (2)...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la JMT siyo lazima awe Mbunge. Mnaoshangilia anguko la Makonda angalieni furaha ya nyani isije kuishia jangwani

    Tunakumbushana tu kwa sababu siasa ni sayansi. Kwa sasa Job Ndugai bado anataka kuendelea kuwa Spika na Dkt. Tulia Ackson anautamani uspika. Ili kuepusha shari CCM ina utamaduni wake kama huujui angalia Dkt. Kigwangalla aliingiaje bungeni kwa mara ya kwanza. So wale watani zangu wa Ufipa...
  12. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Nasi tuige Bunge la Marekani kutunga sheria kuzuia Rais kutoa misamaha ovyo, na kushitakiwa kama raia yeyote wa Marekani. Hakuna aliye juu ya Sheria

    Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump. 1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe. 2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka Rais hawezi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ndugai ameboresha Bunge ndiyo maana watu wanazitema teuzi za Serikalini na kukimbilia Bungeni

    Sikulazimishi ukubaliane na mimi lakini huu ndio ukweli mchungu. Kama siyo ubora wa bunge Prof. Kitila asingeutema ukatibu mkuu wa kusimamia huduma ya maji Tanzania nzima na kwenda Ubungo. Mnyeti na Paul wasingeukacha ukuu wa mkoa ambao wabunge wote mkoani wako chini yako na kwenda majimboni...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  15. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa Bunge ni matokeo ya Bunge kujaa wafanyabiashara tuwapunguze akina Shabiby, Nchambi, Abood, Musukuma n.k

    Bunge la Tanzania la awamu iliyopita lilikuwa dhaifu, CAG alisema, Makonda alisema, wapinzani wamesema sana. Makundi mbalimbali ya wananchi wanasema pia. Udhaifu wa Bunge ilikuwa ni matokeo ya kupeleka bungeni wabunge wanaoangalia masilahi yao na siyo kwamba ni wabunge dhaifu. Wabunge...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bunge la Awamu ya 5 lilikuwepo kutimiza muundo wa nchi tu

    Katika umri wangu mdogo nimepata kulijua bunge la Spika Samuel Sitta, Mama Anne Makinda na sasa Job Ndugai. Pamoja na changamoto za kubinya upinzani katika mabunge yaliyopita lakini angalau yaliweza kuwa wazi na kuisimamia serikali. Kashfa mbalimbali zilizoibuliwa na wabunge kwa kushirikiana...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

    Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki: Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbalimbali watoa maoni kuhusu Bunge la 11 lilivyokuwa. Wengine wasema lilikiuka sana Katiba na kuibeba Serikali badala ya wananchi. Wewe je?

    Mchambuzi wa masuala ya Katiba, Sera, Siasa na Maendeleo ya Watu, Mcheleli Machumbana, alisema kwa miaka mitano ya Bunge la 11 lilikuwa na upitishaji wa sheria zinazokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. “Kwa mfano Bunge limeweka kinga ya kupindukia kwa viongozi wakuu wa nchi...
  20. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania balaa, kuna wakati hushambuliana kwa misingi ya kikabila na kiasili, mara rudi kwenu Oman, rudi kwenu Congo

    Wenzetu hawa wanavyopenda kuchachamaa kuhusu ukabila kwetu utadhani kwao ni binguni hamna aina yoyote ya ubaguzi, ilhali mitandao ya kijamii huanika uozo wao haswa kwenye bunge ambapo mizuka ya wabunge husababisha wanaanza kushambuliana kwa misingi ya kikabila, kikanda na asili ya mtu, mara rudi...
Back
Top Bottom