bunge

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Moses Methew amtaka Dkt. Abbas ajitokeze hadharani kulijibu bunge la EU, adai Balozi hatoshi

    Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani kuelezea sakata la bunge la EU na Tanzania. Moses anasema hakuna sababu ya kulinyamazia swala hili...
  2. Securelens

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hoja za kibunge hujibiwa kibunge, tumwachie Spika Ndugai amalizane na Bunge la EU na sisi wengine tuchape kazi

    Ni kawaida ya CHADEMA kwenda na matukio na wakati mwingine huvamia tu agenda bila ya kuwa na mwelekeo wowote. Hebu tuache hizo hoja za kibunge kutoka kwa hao wabunge kiduchu wa EU zijibiwe na wabobezi kutoka katika kamati yetu ya bunge ya mambo ya nje. Sisi watanzania wengine ukiwemo wewe...
  4. Securelens

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wakanusha habari za uongo zinazodai kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo

    Ubalozi wa Tanzani Ubelgiji umekanusha habari za uongo zinazoenezwa mitandaoni kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia kuifutia Tanzania misaada na kuiwekea vikwazo. Ubalozi umeeleza kuwa ni wabunge watano tu kati ya wabunge 71 wa Kamati ya Mambo ya Nje ndiyo walitoa mawazo yao na hakuna...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji: Huwezi ukawatofautisha Serikali, Mahakama na Bunge. Hata Mbinguni kuna Baba, Mwana na roho lakini maamuzi ni yaleyale

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na baadae kuhamia CCM, Dkt. Mashinji amesema Tanzania ni nchi changa na haiitaji kuwa na mabadiliko ya haraka ghafla kwa sababu kila mabadiliko yana athari. Amesema yakifanyika mabadiliko na yakaja na athari, bado Tanzania...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

    Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter: Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuvaa tai ya rangi NYEKUNDU na BLUU wakati wa kuapishwa na ZAMBARAU wakati wa kufungua bunge, kidiplomasia ina maana gani?

    Na Abbas Mwalimu | Jumamosi tarehe 14 Novemba, 2020 Uwanja wa Diplomasia tumepokea maswali mengi sana kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa kuapishwa kwake Alhamisi tarehe 5 Novemba, 2020 na siki ya kulifungua Bunge la 12 na Ijumaa...
  9. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Bunge hili linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene

    Habari za huu ndani wanajamvi? Bunge hili natafakari sana linaweza kuwa Bunge la Tanzania mpya au Bunge la Tanzania ya giza nene Kwa sababu ni bunge lisilo na upinzani linaweza kuwa bunge la mfano kwa kuleta maendeleo kwa kasi kwa kuwa bajeti haitasumbua na hakuna kelele lakini pia linaweza...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli kulihutubia Bunge na kuahidi kuwa katika kipindi kijacho ataimarisha Demokrasia, maneno hayo yanatoka moyoni mwake au ni usanii?

    Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Rais Bunge la 12 ni nzuri lakini sikuipenda

    Imejaa mambo mengi sana ya kutimiza kwa miaka 5. Inatia mashaka kuwa huenda akaanzisha miradi mingi sana itakayolazimu aongezwe muda ili aikamilishe mwenyewe vizuri na kwa ubora kama alivyokusudia. Ningetamani kama angejikita kwenye umalizaji wa reli, bwawa la umeme, uchimbaji wa chuma na makaa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Rweikiza apotelewa na simu mbili kwenye geti la bunge

    Spika Ndugai ametangaza ndani ya bunge kuwa mbunge wa Bukoba vijijini mh Lweikiza amepotelewa simu 2 ndani ya ukumbi wa bunge na kwamba mbunge yoyote aliyezichukua " kwa bahati mbaya" azirejeshe. Chanzo: Channel ten My take; CHADEMA wa kuwasingizia hawapo, nani sasa kachukua!! Maendeleo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkwamo wa Bunge kikanuni bila kambi Rasmi ya Upinzani

    Na Bashir Yakub, WAKILI Kanuni ya 135(11) ya Kanuni za Kudumu za Bunge za June 2020, inasema kuwa " Wenyeviti wa Kamati ya Hesabu za serikali(PAC), na Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC) wanatakiwa kutoka Kambi Rasmi ya Walio wachache Bungeni". Kwanza kwa Kanuni hizi mpya hakuna kitu kinaitwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Bunge litageuka ukumbi wa sanaa za maigizo ili kuvutia watazamaji

    Spika wa Bunge Ndugu Job Ndugai amesikika akisema kuwa kwa sasa anataka bunge lipewe nafasi zaidi ya kusikika na anataka wabunge wajitahidi kuwa wasemaji, wasiwe mabubu wasijipendekeze. Hii ina maana ana mashaka na wabunge wake upande huo. Uchambuzi wa haraka unaonesha kuwa itakuwa ngumu sana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ili wabunge warekebishe mambo yao ikiwemo makazi. Rais Magufuli kulihutubia Ijumaa Novemba 13, 2020

    Spika wa Bunge kahairisha Bunge sababu wabunge wengi wanataka kuongea na wapiga kura wao , wengine wanataka kununua nguo lakini wengine hawajapata bado sehemu za kulala...hivyo Bunge limeahirishwa mpaka kesho saa tatu asubuhi. === NDUGAI: Waheshimiwa wabunge najua mmewasili kwenye siku kadhaa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bunge kutokuwa na Kambi rasmi ya Upinzani ni ishara kuwa Wapinzani wameishiwa pumzi

    Moja ya kipimo cha kuimarika kwa upinzani ni uwepo wa Kambi rasmi ya upinzani na mabaraza ya madiwani yanayoongozwa na vyama vya upinzani. Kwa sasa hapa Tanzania hivyo vyote havipo. Ni kama vile tumerudi mwaka 1992 wakati mfumo wa sasa wa vyama vingi unaasisiwa. Ili upinzani urejeshe makali...
  19. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaowajua haiwezekani Upinzani kususia bunge, huu ni utani tu!

    Tunaomjua Zitto vizuri na Mbowe hawatuchanganyi kabisa. Mwaka 2010 baada ya UCHAGUZI mkuu wabunge wa upinzani walikusudia kususia bunge kwa sababu kama hizi hizi. Wakati huo Tundu Lissu, Heche na Mdee walikuwa moto kweli. Walilia dhulma dhidi ya wagombea wao wengi sana wa ubunge na kutangazwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tumehimizwa kuanza kuliona Bunge kwenye Vyombo vya Habari

    Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi? Leo shamrashamra za kupatikana kwa spika 99.7% Dodoma hazijapewa kipaombele kwenye media hasa social media tatizo...
Back
Top Bottom