bunge

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wasizuie wabunge wao kwenda kuapa na kuhudhuria Bunge

    Wacha wabunge wa wapinzani washiriki vikao vya bunge lijalo, na ikiwezekana wapeleke majina ya watu wa ubunge wa viti maalumu. Maana kuhudhuria au kutokuhudhuria hakusaidii kuimarisha demokrasia wala vyama vya upinzani wala kubadilisha siasa za Tanzania. CUF walifanya hivyo mara nyingi bila...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Spika wa bunge hawezi kupita bila kupingwa hata kama ni mgombea pekee wa nafasi hiyo?

    Awali niliamini Job Ndugai atapita bila kupingwa kwa sababu hana mpinzani. Kumbe nilikosea, amepigiwa kura za ndiyo na Hapana. Ikumbukwe jimboni kwake Kongwa, Ndugai alipita bila kupingwa. Maendeleo hayana vyama
  3. JM3

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

    Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge. Moja ya kazi za kwanza za vikao vya mwanzo vya mkutano huu itakuwa ni kumchagua Spika wa Bunge, Naibu wake pamoja na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nchi Wahisani hawatakubali kutoa fedha zao iwapo watabaini wapinzani wa kutumika ndio wataongoza kamati za fedha za Bunge

    Ni Imani yangu walioweka sharti kamati za Bunge: PAC, POAC na LAAC ziongozwe na Wapinzani, walijua umuhimu huo wakiamini wapinzani wana nafasi nzuri zaidi katika kuibana serikali kwenye suala zima la matumizi ya fedha za Umma na zile zinazotolewa na wahisani. Kwa sababu hiyo, naamini mpaka sasa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Bunge linaloanza leo litakuwa kama Bunge la Katiba baada ya UKAWA kususa, tutegemee kuibuka akina Othman!

    Nalifananisha bunge la Ndugai linaloanza leo sawa na lile bunge la katiba baada ya UKAWA kususia wakiongozwa na Prof. Lipumba. Tutegemee mambo mengi mazuri na mengi ya kushangaza lakini zaidi ni kuibuka watu aina ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar mh Othman kadhalika aliyekuwa mbunge wa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Bunge la Chama kimoja tutegemee tena G55 mpya ikitokea?

    Tanzania ina uzoefu wa kuwa na Bunge la chama kimoja, lkn pamoja na kuwa na bunge la chama kimoja kulikuwa na mijadala mikali na hoja nzito zilizojadiliwa ukiwamo ule wa kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika uliotokea kwenye miaka ya 1990 al maarufu kama G55. Wabunge wa CCM wa wakati huo kina...
  7. winnerian

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi wa Tanzania Mtandaoni (BUWATA). Weka hapa hoja yako muhimu iwafikie watawala na kuwagusa mioyo yao migumu

    Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo: Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni". Vijana wengi sasa...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Watanzania watalipenda sana Bunge lijalo

    Habari WanaJF, Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania CCM yampendekeza Ndugai kuwania nafasi ya Spika na Dkt. Tulia kuwania Unaibu Spika katika Bunge lijalo

    Kamati Kuu ya CCM imempendekeza Job Ndugai kuwa mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge lijalo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dk Tulia Ackson akipendekezwa kwa nafasi ya Naibu Spika
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tutegemee Bunge lijalo kurushwa LIVE?

    Ukweli ni kwamba bunge lijalo halina madhara. Ni bunge kibogoyo. Kwahiyo hata likirushwa live redioni au kwenye tv, bado halitakuwa na effect mbaya kwa serikali. Kwasababu wale wakosoaji/waibua mijadala ambao wangepata airtime kama bunge lingekuwa live, kipindi hiki hawapo. Wamebaki wagonga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwenye Bunge la chama kimoja, NEC ya CCM ina nguvu kuliko Bunge, na DED ni boss wa Mbunge

    Mzee Mgaya ananikumbusha namna bunge la Spika Adam Sapi Mkwawa lilivyokuwa linaendeshwa kwamba lilikuwa chini ya Halmashauri Kuu ya CCM. Maamuzi muhimu hufanyika katika ngazi za NEC na CCM na kwamba bunge hutimiza process ya kikatiba tu ndio maana Waziri fulani aliwahi kuwaambia wabunge " Gi to...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Viti Maalum vya Ubunge vyaigawa CHADEMA. Washindwa fikia muafaka kususia Bunge

    Kutokana na kura za ubunge walizopata CHADEMA wanaweza kupata wabunge wa Viti Maalum kati ya 12 na 18. Sasa wazo la wao kususia bunge na mabaraza ya madiwani limekuwa gumu kwa sababu kuna wanawake wanaoamini bora kutumia fursa hiyo kuliko kuiachia iende bure. Katika kikao chao, Halima Mdee na...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza fursa kwa wanachama wake wenye dhamira ya kuomba dhamana ya nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya nk

    Chama Cha Mapinduzi kimewaalika wanachama wake wenye sifa stahiki kuomba nafasi za Spika na Naibu Spika wa Bunge, Meya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri ya Wilaya. Taarifa ya CCM imeeleza kuwa siku ya kuchukua na kurejesha fomu ni Tarehe 2 Novemba.
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Upinzani msiruhusu CCM waendeshe Bunge na nchi pekee yao. Nchi ni yetu sote tusikubali kamwe

    Amani iwe kwenu wajumbe! Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo. Serikali ya CCM imekua na rekodi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Watapokosa fedha za Miradi mbalimbali kwa kunyimwa misaada na mikopo, wataanza kulaumu Wapinzani hata kama Bunge litakuwa lao

    Kwa jinsi uchaguzi huu ulivyofanyika,kuna kila dalili Wahisani na Mashirika ya Fedha ya Kimataifa yatatutenga ukizingatia tumepuuza wito wa wahisani wa kuendesha uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwahiyo, kitachofuata ni serikali hii kuanza kukwama katika utekelezaji wa miradi yake mbalimbali...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  20. Bill

    JamiiForums Tanzania GE2020 Oktoba 28, 2020 siku ya kuwapumzisha Wabunge wa Upinzani waliosusa mara kwa mara vikao vya bunge 2015 hadi 2020

    Wabunge wa upinzani wakiongozwa na CHADEMA walikuwa wakisusia mara kwa mara vikao vya bunge na kutoka nje. Hata kipindi cha korona aka COVID19 walisusa wakisingizia wanaenda kujifungia kitu hawakufanya wakaendelea kupiga misele mtaani. Hata pale shule zilifunguliwa hawakufungia watoto wao...
Back
Top Bottom