Kwenye nchi yoyote duniani, inayoweza kusema inaendesha utawala bora, ni lazima iruhusu mfumo wa mihimili 3 mikuu ya nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama kujiendesha katika kutoingiliana katika uendeshaji wa shughuli zao, katika kile kinachoitwa "checks and balance"
Hali ni tofauti kubwa...
Tuchukulie tu mfano wa Spika wa sasa Mhe. Ndugai, yeye ni mbunge na aliomba nafasi ya Spika kabla ya kiapo.
Je, ni wakati gani huapishwa kama Mbunge?
Mzee Mgaya alizoea enzi za chifu Adam Sapi.
Maendeleo hayana vyama!
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inapenda kuutarifu Umma kuwa; kwa mujibu wa Kifungu cha 37 (3) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mhe. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemjulisha...
Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
Tunamshukuru Spika wa zamani Mhe. Pius Msekwa kwa kujaribu kuzungumzia kasoro na mwenendo wa bunge la Job japo alitumia akili kubwa zaidi kwa kuzungumzia wale wabunge wa viti maalum wa Chadema maarufu kwa jina la Covid -19 lakini lengo kubwa ni kutaka kuarifu umma kuwa maamuzi mengi ambayo...
Spika wa Bunge Job Ndugai leo November 30,2020 atawaapisha Wabunge wawili walioteuliwa na Rais Magufuli, Wabunge hao ni Humphrey Polepole ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM na Riziki Said aliyekuwa Mbunge Viti Maalum katika Bunge la 11 kupitia CUF.
Shughuli za uapisho zitafanyika...
A POLITICAL WATCHDOG:HUMPHREY POLEPOLE MZALENDO ANAKAYEKWENDA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI NDANI YA BUNGE NA KUREPORT KWA MHE RAIS.
Leo 14:45hrs 29/11/2020
Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa,na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi,Taifa,Ndugu Humprey Polepole,kwa Umakini na Uzalendo wa...
Ibara ya 68 ya katiba inasema hivi;
Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla hajaapishwa.
Mamlaka ya Spika ni lile rungu. Bila rungu maana yake bunge...
Habarini Wanajanvi
Kutokana na mkanganyiko wa mambo ya Kisisa Nchini na hata kusababisha Tafsiri tata kwa baadhi ya mambo tulioyodhani ni ya kawaida na ni mepesi kuyafahamu na kuyajua.
Kabla tulijua Bungeni ni sehemu maarumu ambapo shughuri zote zinazohusu Bunge hufanyika.
Kabla tulijua Bunge...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya...
Kwangu mimi katika yote yaliyozungumzwa kiapo cha mbunge ndio kimenipa tafakuri.
Spika Ndugai baada ya kuwaapisha wabunge 19 wa Chadema kwenye viwanja vya bunge alisema kanuni zinamruhusu kumuapisha mbunge mahali popote palipoandaliwa.
Cha muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika.
Mbowe ambaye ni...
Hello JF,
Mwenzenu nahisi Bunge lijalo litakuwa very interesting...
Je, watanyamaza kimya pale mambo yatakapokuwa against matarajio yao?
Pale je mambo yakifanyika bila kuwashirikisha, watakua na uthubutu wa kuhoji?
I'm sure wengine japokua mmebebwa mkapelekwa Bungeni, still kuna some of you...
Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA.
MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS)
Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
Leo Novemba 25, 2020 katibu mkuu wa CHADEMA amezungumza na vyombo vya habari makao makuu ya chama hicho eneo la Ufipa, Kinondoni mada kuu ikiwa uteuzi wa wabunge wa viti maalum ambapo uapisho wao ulifanyika jana bungeni jijini Dodoma jana.
Yafuatayo ni maelezo kwenye mkutano huo kuanzia mwanzo...
Kitendo cha Lissu kufanikiwa kuingia nchini na kugombea Urais na kisha kupata uungwaji mkono mkubwa kimegonga nyundo katika bongo za Wanasheria wasiozingatia maadili ya kazi yao na Sasa vijana wa UVCCM wanaandaa mkakati wakumdhibiti asiweze kugombea muhula ujao.
Moja ya mkakati uliopo nikuweka...
Spika wa bunge la JMT mh Ndugai amesema wananchi wasichanganye kwamba mbunge ni lazima aape akiwa ndani ya bunge, kanuni hazisemi hivyo.
Kwa mujibu wa kanuni kama kuna kikao cha bunge kinachoendelea basi wabunge wapya wataapishwa ndani ya ukumbi wa bunge.
Endapo mbunge atateuliwa wakati bunge...
Salaam wana JF,
Nianze andiko hili fupi kwa kusema Tanzania ni taifa imara kwa misingi ya siasa, uchumi, utamaduni na utawala bora, Tanzania kama yalivyo mataifa mengine ulimwengu tunayo misingi na taratibu za ndani za kuendesha shughuli zetu za kiutawala kulingana serikali iliyopo madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.