Kumbe Spika wa bunge hawezi kupita bila kupingwa hata kama ni mgombea pekee wa nafasi hiyo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,910
141,861
Awali niliamini Job Ndugai atapita bila kupingwa kwa sababu hana mpinzani.

Kumbe nilikosea, amepigiwa kura za ndiyo na Hapana.

Ikumbukwe jimboni kwake Kongwa, Ndugai alipita bila kupingwa.

Maendeleo hayana vyama
 
Kwa Tanzania anapita bila kupingwa speaker, sema anatumia mlango wa uwani (Wabunge wateule CCM wanaambiwa msichukue form za kugombea uspeaker, fulani atakua speaker - Kama ilivotokea safari hii kwa Ndugai & Tulia).
 
Back
Top Bottom