bunge

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais na Bunge ruhusuni uraia wa nchi mbili haraka kwa wageni kabla Corona haijaisha duniani

    Kupata permanent residence Marekani unatikwa kununua municipal bonds za dola kadhaa. Serikali itoe uraia wa nchi mbili kwa yeyote atakayenunua long-term bond za serikali za dola milioni moja wapewe uraia haraka akishalipa tu tuchangamkie fursa. Tanzania wazungu mamilionea wanakimbia corona...
  2. Albedo

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

    Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini) 1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile ofisi haitumiki? 2. Je itakuwa ni Busara kwamba Bunge liweke kigezo cha Kuwa Mbunge wa Urambo kama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwani Bunge likibadilisha Katiba na kuondoa ukomo wa Rais kubaki madarakani Uchaguzi Mkuu wa 2025 hautafanyika?

    Nauliza tu kwa wataalamu wa masuala ya Katiba. Ninavyofahamu mgombea urais hupendekezwa na Chama cha Siasa na kuchaguliwa na Wananchi. Kwa mfano Katiba ikibadilishwa na CCM wakamsimamisha tena Dr Magufuli, kuna ubaya gani? Si wananchi ndio watakaoamua? Maendeleo hayana vyama!
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba amrarua Trump, alipongeza Bunge la Marekani

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya vurugu zilizofanywa na waandamanaji waliovamia Bunge la Marekani kwa Lengo la kulilazimisha Bunge la Marekani kubadilisha Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Novemba 3, 2020 yaliyompa Ushindi Joe Biden...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wakamata gari lililokuwa na mabomu karibu na jengo la bunge wakati wafuasi wa Trump walipofanya vurugu

    Polisi nchini Marekani wanasema wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki likiwa limeegeshwa karibu na jengo la bunge siku ya Jumatano wakati wafuasi wa Rais Donald Trump walipovamia jengo la bunge, mtandao wa CNN umeripoti. Mtu mwingine aliingia ndani ya jengo la bunge akiwa na bunduki...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana

    Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa. Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
  7. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Bunge la Marekani lamthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani

    Baada ya kikao kilichochukua muda mrefu, hatimaye Bunge la Congress limemthibitisha Joe Biden kuwa Rais wa Marekani na Kamala Harris kuwa Makamu wa Rais kwa muhula unaotarajiwa kuanza rasmi Januari 20, 2021 kwa kura 306 dhidi ya Donald Trump aliyepata kura 232. Hatua hii inaashiria kukamilika...
  8. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Congress in turmoil as protesters storm US Capitol Building

    Wafuasi wa Rais Donald Trump wameandamana Washington Dc wakizingira Bunge lililopo Capitol Hill Hatua hiyo imekuja mara baada ya bunge kumuidhinisha Joe Biden kama Rais ajaye wa #Marekani Trump ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwataka waandamanaji wasifanye vurugu === As Congress...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Trump anatengeneza mgogoro wa kikatiba awataka wafuasi wake kuvamia Bunge

    Trump Anatengeneza mgogoro wa kikatiba wafuasi wake wamevamia bunge muda huu.
  10. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini, kikao kijacho cha Bunge usisahau kufuatilia kiwanda cha General Tyre

    Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla. Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake. Baada ya kusimamishwa shughuli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

    Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa. Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

    Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake. Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje ni Mihimili mitatu wakati Rais ndiye huteua Majaji wote na ana uwezo wa kulivunja Bunge?

    Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama. Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu. Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote. Kadhalika Rais anaweza...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaijibu barua ya bunge la Marekani dhidi ya kesi ya Rusesabagina

    Rais Kagame alisema kwamba mpinzani wake mkuu Paul Rusesabagina alidanganywa akajileta mwenyewe nchini Rwanda. Waziri wa Sheria nchini Rwanda amemjibu mjumbe wa bunge la Marekani ambaye alikuwa amemwandikia Rais Paul Kagame akimtaka Paul Rusesabagina aachiliwe huru , mkosoaji mkuu wa serikali...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wabunge chini ya Spika Ndugai na Naibu wake Tulia Ackson

    Kwa heshima kubwa naleta ushauri huu kwenu, nikiwa kama BUNGE ni chombo au ni sauti ya watanzania walio zaidi ya milioni 50. Bunge ni chombo kinachojitegemea ambacho kinatakiwa kuisimamia Serikali, hivyo Bunge lina nguvu yakikatiba kutetea wananchi wake ambao ni wakulima na wafanyakazi. Mwaka...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kuhusu kutimuliwa kwa Jeanine Mabunda kama Spika wa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo?

    Hapo jana ya tarehe 11/12/2020 tulipata taarifa kuwa Bunge la Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo limepiga kura ya kutokuwa na imani naye Spika wao wa Bunge, Jeanine Mabunda kwa namna anavyoliendesha Bunge hilo kwa upendeleo na kujiegemeza kwa Rais Mstaafu, Joseph Kabila, pamoja na chama chake...
  18. XI JIN PING II

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

    Habari wana JF, Siku zote nimekuwa nikijiuliza jambo moja hapa Tz kwanini Ma Profesa, Wahandisi na wataalamu wabobezi kwenye fani mbalimbali wanaamua kuzipa kisogo fani zao na kukimbilia kwenye siasa hasa ubunge? Sasa leo Kisalala mbunge wa jimbo la Sumve amenipatia jibu. Wanafuata maslahi...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ombi Maalum kwa Rais Magufuli: Mteue Zitto Kabwe kuwa Mbunge wa Bunge la JMT, ndiye mpinzani pekee mzalendo, Capable kuongoza PAC!

    Wanabodi Anza na kumsikiliza Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ndugai avuliwe U-spika wa Bunge, kutokana na kuikanyaga Katiba ya nchi kwa kung'ang'ania kuwakumbatia wabunge wa viti maalum wa Chadema

    Tunajua kuwa sheria mama ya nchi hii ni Katiba ya Jamhuri wa Muungano, 1977, ambapo kila mwananchi anapaswa kuiheshimu na kuitii. Viongozi wakuu wa serikali wanaapishwa kwa kuilinda Katiba hiyo kabla hatujawakabidhi madaraka hayo. Katika kile tunachokiona watanzania kwa sasa kuona viongozi...
Back
Top Bottom