Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini.
Waziri Mkuu Majaliwa...
Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30.
Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga?
Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa vyema bunge lililopita na wabunge wa CCM na uongozi wa Bunge pamoja na Mawazir waliipinga vikali...
Ndiyo,
Mkutano wa pili na wa mwanzo kabisa wa mwaka, hakuna hoja za muhimu kwa wananchi zilizojadiliwa na wabunge wa JMT.
Badala yake hoja kubwa ni kumuongezea muda wa urais Mh Rais Magufuli. Kuna hoja nyingi za msingi kama:
Tahadhari dhidi ya korona
Ukosefu wa ajira kwa vijana
Deni la...
Salaam Wana JF,
Nianze kwa kusema kuwa wale wanaodhani Bunge letu ni Jumba la Sanaa wanakosea kimantiki na pengine hawajui Majukumu ya Mhimili huu na mipaka yake, Bunge lina utakatifu wake na upekee katika ustawi wa haki na Maendeleo kwa watu, Bunge Ni moyo wa nchi kiutawala.
Hatahivyo Kwa...
Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika.
Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja...
Tusitarajie wabunge wengi kuwa na busara kulalamikia kero za wananchi, kama maji, elimu na miundo mbinu mibovu. Maana wabunge wengi ni wa CCM na wao walikiri kuwa hawastahili kuwa bungeni bali walibebwa kwa mgongo wa JPM.
Kwenye hili bunge tutarajie kusikia haya tulioanza kusikia JPM...
Baada ya kuliangalia kwa makini bunge katika kikao chao cha jana nakiri kusema kuna tofauti ndogo sana kati ya kikao hicho na kile cha Halmashauri kuu ya CCM (NEC)
Upinzani una wabunge 25 kati ya wabunge zaidi ya 390!
Tofauti niliyoiona ni uwepo wa Siwa na Posho ya kukaa.
Kwa idadi yao...
Inasemekana kwamba hata ambaye amenyimwa macho basi angalau anapewa uwezo wa kunusa na kupapasa, hanyimwi vyote.
Ukweli niliouona (maana macho ninayo) ni kwamba wananchi wengi wamelipuuza na kulidharau kabisa bunge jipya linaloendelea Mjini Dodoma, wadau hawana habari nalo wala hawataki hata...
Jana tarehe 1 Februari ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 100 ya Mahakama Tanzania. Rais Magufuli aliongea mengi sana lakini hakugusia kuhusu mwingiliano wa Mihimili hii 3: Bunge,Mahakama na Serikali. Nitaeleza.
Leo Bunge la JMT limeanza kwa makosa 2 makubwa sana kama ifuatavyo:
KUKIUKA...
Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter:
Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
Hii ni habari njema hasa kwa Vyama vya Upinzani Chadema, CUF na ACT wazalendo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishinikiza kurejeshwa kwa bunge live.
Bunge mubashara limerudi kupitia luninga ya CCM iitwayo Channel ten, karibuni sana.
Hata sasa bunge liko live.
Maendeleo hayana vyama!
Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma.
Itakumbukwa Wabunge hao tayari walishavuliwa uanachama na chama chao mwishoni mwa mwaka jana...
Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma.
Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni pamoja na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanayotarajiwa kuulizwa na wabunge.
Pia, wabunge...
(CNN)Senate Minority Leader Mitch McConnell is proposing that the Senate give former President Donald Trump's legal team two weeks to prepare for the upcoming impeachment trial once the Senate receives the article and delay its start until mid-February.
McConnell's proposal to Senate Majority...
Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji.
Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo basi baada ya utawala huu unaowalinda kuondoka madarakani.
Sakata la Wanachama wa CHADEMA...
Kitendo cha kina Mdee na wenzake kukubali teuzi mbalimbali za bunge kwa jina la CHADEMA ni dharau kwa Baraza Kuu la CHADEMA, na kitaathiri sana maamuzi ya baraza juu ya rufaa yao.
Unapokata rufaa maana yake unataka haki zako unazodhani zimeporwa zirejeshwe, lkn unapoendelea kuzitumia hizo haki...
Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa Chadema.
Miongoni mwa wabunge waliotajwa ni Naghenjwa Kaboyoka aliyetetea uenyekiti wa Kamati ya...
UCHAGUZI wa Wenyeviti na Makamu wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge 14 utafanyika leo, baada ya vikao vya kamati hizo kuanza, jijini hapa.
Huu ni mchuano mwingine bungeni kwa wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wa upinzani ambao wanatarajiwa kupambana kuwania kuongoza kamati za Hesabu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.