bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Taifa stars, kizazi hiki Cha kuanzia 2000 ndio tumeshuhudia stars bora kuwahi kutokea

    Kuanzishwa 1925 Mchezo wa kwanza Uganda 3-10 Tanganyika Baada ya Muungano 1969 Tanzania 10-1 Kenya Ushindi mkubwa kwenye mechi ya mashindano Tanzania 7-0 somalia,,,jinja Uganda 1/12/1995 na Kampala 1/5/2012.. Kipigo kikubwa .. Tanganyika 8-9 Kenya 1956. Baada ya Muungano Algeria 7-0...
  2. K

    Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

    Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC. Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania. Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
  3. Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  4. L

    Kwa mgao huu wa umeme bora hata January Makamba

    Yaani kwa kipindi cha miaka 4 sijawahi experience shida ya umeme iliyopo sasa. Sijawahi kumuamini bwana January lakini hata wakati akiwa waziri umeme ulikuwa haukati hivi. Sasa hivi ni week sasa ikifika saa moja au mbili wanapita na umeme walianza wanarudisha saa 12 naona jana wamerejesha saa 2...
  5. K

    Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

    Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni. Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo...
  6. U

    Kwa mujibu wa injili ya Barnaba mbwa ni bora zaidi ya mwanaume asiyetahiriwa

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa! Nimekuwekea nukuu yote hapo chini: Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they "The disciples...
  7. Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
  8. Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

    Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake". Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi. SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA: 1. Double Cabin Pick Up 2. Limudu safari ndefu za mara...
  9. Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
  10. Kitendo cha CCM kutaka kuhodhi mchakato wa Katiba kama walivyofanya mwaka 1977 na 2014 kitasababisha tushindwe kupata Katiba Bora.

    UPATIKANAJI WA KATIBA YASASA (1977) Historia inatunesha Katiba hii ya tuliyonayo ya mwaka 1977 ilipatikana kutokana na tume ya Rais iliyokuwa nawajumbe 20, kwa idadi sawa toka pande zote za muungano ikiongozwa na Sheikh Thabit Kombo akisaidiwa na Pius Msekwa kama katibu wa tume hii ya Rais. Hata...
  11. Kitu chochote ili kiwe bora kinahitaji kitu hiki

    Kivyovyote vile kwenye kila jambo ambalo unalifanya kumbuka huwezi kuwa bora zaidi ya wengine, ila unaweza kuwa na nidhamu zaidi ya wengine wote kwenye kila jambo fulani unalolifanya. Kila kitu kinahitaji nidhamu ya hali ya juu katika kutekeleza jambo fulani. Huwezi kusema unataka kufanikiwa...
  12. Hongera Simba SC Kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Simba Sc na uongozi wake kiujumla kwa hatua hii kubwa. Kwa mujibu wa Orodha ya shirika linalohusika na Takwimu za kimichezo duniani IFFHS, Iliyotoka mapema jana, aimeonyesha vilabu viwili pekee kutoka Tanzania vikiwakilisha vyema. Place Last Clubs Country /...
  13. K

    Askofu Kilaini: Ni Wajibu wa Viongozi wa Dini kutetea maadili na Utawala bora

    Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira. Askofu Kilaini Amesema Si vyema Viongozi wa Dini Kutumia Mimbari Ukiwa bado umevaa Cheo chako au Joho...
  14. Wakomunisti ni watu pekee wanaojua namna bora ya kutwaa madaraka kutoka kwa watawala

    Licha ya kwamba si kubaliani na mambo kadha wa kadha yanayo tekelezwa na wakomunisti lakini kuna baadhi ya mambo wanajitahidi mfano kuweka dini na siasa mbali hilo moja. Leo tuizungumzie namna ambavyo mbinu za wakomunisti kwangu ndizo mbinu bora kutwaa madaraka kutoka kwa watawala wapuuzi. Kwa...
  15. Nchi 12 zenye Demokrasia Bora Barani Afrika

    Bara la Afrika bado linakabiliwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya Demokrasia duniani, kwa mujibu wa Ripoti ya Economist Intelligence Unit (EIU), 12% tu ya Nchi za Afrika zina kiwango bora cha Demokrasia zikiongozwa na Mauritius. Nchi zenye kiwango kibaya zaidi cha Demokarasia ni pamoja na...
  16. Hakuna Taifa au Kabila lenye Watu Bora kuzidi jingine, mataifa au Makabila yote ni Sawa Ila hayalingani

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wapo wenzetu wenye mitazamo Duni linapokuja suala la ukabila u utaifa. Wapo wanaojiona ni Bora kuliko wengine lakini ukifuatilia Kwa umaskini ubora wanaojivunia ndio udhaifu wao. Na wapo ambao wanaojiona Duni lakini ukifuatilia uduni wao ndio ubora wao. Kwa...
  17. Hizi hapa Bandari bora zaidi duniani

    Chapisho la hapa chini limeelezea bandari bora kabisa duniani zinazo fanya vizuri. Top 50 seaports 2022 Every year, a new ranking of top seaports is issued. Port throughput can be measured by cargo tonnage, container TEU, and the number of vessel calls categorized by commodities carried. TEU...
  18. Drone ya Putin ilivyokiteketeza kifaru bora cha Uingereza

    Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi "Ivumayo haidumu" na hivyo ndivyo inavyothibitika kwa wababe hao wa ardhini. Tangu vita ya Russia...
  19. Msaada wa njia bora ya kuondoa nyuki waliowekamakazi kwenye chumba changu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…