Mafuta bora ya alizeti kwa mapishi yote

SeniorCaptain

New Member
Feb 9, 2024
1
0
Mwana JF,
Je Wajua?
Kuchakata mafuta ya alizeti au mafuta mengine yoyote ya mimea (oil refinery) ni hatua muhimu sana katika kuhakikisha ubora wa mafuta kwa matumizi ya binadamu.
Je, unafahamu faida za mafuta yaliyochakatwa (refined oil) ukilinganisha na yale yasiyochakatwa? Kuchakata mafuta:

1. Huondoa maji (moisture) kwenye mafuta na hivyo kuyafanya yawe ni mafuta bora zaidi, yaani mafuta kidogo yanaweza kutosha pishi lako. Kumbuka, Mafuta yasiyochakatwa huwa na maji mengi ndani yake.

2. Huondoa utomvu (gums) ambao ukiwemo hufanya mafuta yaharibike mapema (short shelf life) hunata na yakikaa sana huwa machungu na hupata rangi nyeusi.

3. Huondoa harufu ya kukereketa ya asili ya mafuta (hasa ya alizeti) inayosababishwa na uwepo wa chembe nyingi huru za asidi ya mafuta (Free Fat Acids au FFAs). Hizi ndizo hasa lehemu (cholesterol).

4. Huondoa nta ya mafuta (wax) ambayo hufanya mafuta yasing'ae hata yakichujwa sana.

5. Huondoa madini hatari mfano ya risasi (lead), mabaki ya dawa za kudhibiti wadudu zilizotumika shambani na kwenye uhifadhi pamoja na taka ngumu nyingine zipatikanazo kwenye mafuta ghafi.

6. Huyapa mafuta rangi ya kung'aa na kuyaongezea ladha murua yatumikapo kwenye mapishi.

Note: Redsun Sunflower Oil ni mojawapo ya Mafuta ya alizeti yaliyochakatwa. Unaweza kuyapata duka lililo karibu yako au kwenye Supermarkets jijini Dar es Salaam na kwingineko.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi: 0754 321 036 au tuandikie: jpmosha67@gmail.com
 

Attachments

  • KIONJO.mp4
    3.1 MB
Back
Top Bottom