Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,378
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general.
Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo.
Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni kituko kingine sasa kazi ya waziri wa michezo ni nini sababu nauhakika kwenye ugawaji wa tuzo ya mchezaji bora waziri alikuwepo ila hamjui mchezaji aliyepewa tuzo.
Mashabiki wa ivory coast wanahaki ya kumuulizia sababu ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast mwaka 2023.