Kwa namna timu ya Taifa inavyocheza leo; Hemed Moroco ni bora kuliko kocha Mkuu; lakini utakuta analipwa kidogo au analipwa maslahi

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
887
4,133
Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya nini benchi?

Kwa hizi game mbili vs game ya majaribio na Egypt na game ya Morroco ni wazi kocha mtanzania amefanya kazi kubwa sana kupanga kikosi. Ametumia wachezaji wale wale kupata first eleven nzuri. Naamini angeanza toka mwanzo tungekuwa na timu bora zaidi ya tuliyonayo..

Kibaya zaidi unaweza kukuta huyu Mtanzania analipwa mshahara na posho ndogo mgeni analipwa zaidi ya mara 10 yake.

Tuachane na rangi tujali watu wetu kimaslahi na kikazi.
 
Yeye ndio kasababisha tumetoka, ile mechi na Zambia badala ya kuisimamia na kuielekeze timu ushambulie kutafuta goli la pili huku Zambia wakiwa pungufu na wakiwa na kadi nyingi za njano tangu kipindi cha kwanza akakubali timu ikae kujilinda kipindi chote cha pili
 
Uchezaji wa kumiliki mpira bila kusababisha hatari kwenye lango la mpizani wako sio uchezaji wa kileo. Mabeki wa Congo walikuwa wamerelax sana. Nilitegemea kuanzia dakika ya sabini timu yetu ipress badala yake tukarudi nyuma kama vile tu
 
Uchezaji wa kumiliki mpira bila kusababisha hatari kwenye lango la mpizani wako sio uchezaji wa kileo. Mabeki wa Congo walikuwa wamerelax sana. Nilitegemea kuanzia dakika ya sabini timu yetu ipress badala yake tukarudi nyuma kama vile tunachakupoteza.
 
Makocha wazawa wapo pia sana. Mfano Aliou Cise wa Senegal na Walid wa Morocco,,, tuwaamini wazawa tutafika mbali zaidiiii
 
Game ya Tanzania na Zambia na game ya leo ni Ishara tosha kwamba yule kocha mgeni alikuwa ahujumu timu yetu. Angalia first 11 ya leo inavyopiga mpira wa kisasa, akina Fei Toto walikuwa wanafanya nini benchi?

Kwa hizi game mbili vs game ya majaribio na Egypt na game ya Morroco ni wazi kocha mtanzania amefanya kazi kubwa sana kupanga kikosi. Ametumia wachezaji wale wale kupata first eleven nzuri. Naamini angeanza toka mwanzo tungekuwa na timu bora zaidi ya tuliyonayo..

Kibaya zaidi unaweza kukuta huyu Mtanzania analipwa mshahara na posho ndogo mgeni analipwa zaidi ya mara 10 yake.

Tuachane na rangi tujali watu wetu kimaslahi na kikazi.
NAKAZIA
 
Back
Top Bottom