Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

Moseskyey

Member
Sep 12, 2021
30
21
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema online kuna utapeli lakin kuna kazi unaweza fanya online na Ukapata Kipato kizur kwa Mwezi, Wiki, hata siku zifuatazo ni Njia 5 Bora za online ambazo unaweza Tengeneza Pesa

1. Kuanzisha Blog Au Tovitu na Kuandika Makala Mbali Zinazovutia watu. Kuweza Kuweka Matangazo Kutoka kwa Makampuni Kama Adsense, Adsterra,Monetag na Nyinginezo. Hapa Unahitaji Kuwa na Mda Kidogo wa Kufuatilia Ipi ni Niche Nzuri Kwako

2. Kuanzisha Duka la Online. Hapa ni Kwa wafanya Biashara wenye Waduka ya Nguo, Electronic. Unaweza Tengeneza Website yako utakayokuwa unauza vitu vyako na Kuandika bei huko huko. na hii itafanya Wateja kukuamini zaidi

3.Kutoa Huduma za Freelancing. Unaeza kuwa unatoa baadhi ya services Katika website mbalimbali zinazoruhus hiz kazi na Kutengeneza pesa baada ya Kufanya kazi
Note: hapa unahitajik uwe na elimu ya Hicho Kitu Kwa Undani zaidi

4.Kufanya Kazi na YouTube
. Tunaona wanamuzik Wengi wapa post video zao YouTube na Watu Wengin Ukweli ni Kwamba YouTube inalipa na Kwa Mwezi Kama ukiwa na bidii unaweza Tengeneza zaidi ya 1000K ($500+) na zaidi pia kama ukiweka video zinazopata watu wengi na kwa mda mchache

5.Kufaya Kazi kama Muuzaji Katika Baadhi ya website kama eBay,Amazon,Alibaba
hapa wew unatakiwa kuwa na website pia unachukua bidhaa kutoka hiz website na una import kwako na unapanga bei yako na Hiyo Mitandao itafnya delivery 🚚 kwa Watej Wako Baada ya Kununua Bidhaaa
 
Survey sijui ndio inatajwa hivyo. Hiyo kitu inawapiga vijana wengi kwa kuuza taarifa zao pasipo wao kujua. Kuna miaka nilingia site flani nikakuta kamilisha survey hii utalipwa usd 50, nikasema hela si ndio hii sasa!

bwn bwn nikajibu maswali yote mara nikapewa kipengele nijaze credt card nilikuwa nayo ya airtel nikajaza nikiamini huenda mpunga wangu wataniwekea humo

nilivyo cfrm tu kiasi changu cha pesa kilichokuwa kwenye airel money yangu chote kilifagiwa!
 
Mkuu hii imekaaje hebu tuwekee link sasa wewe ulitakiwa uingie deep iwe fursa kwako
 
Hizi mambo ndizo zinanifanya situmii card visa yangu og but natengeneza ya muda mfupi na kuweka kiasi kinachotakiwa then natumia, vinginevyo kupigwa nje nje !.
Mpesa Viza card ni bora sana maan haifany transaction yoyotr ile bila kutumiw OTP kweny namba yako

Kama Airtel wangekua na hii jamaa asingepigwa maan angeona OTP na asingeruhusu muamala
 
Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema online kuna utapeli lakin kuna kazi unaweza fanya online na Ukapata Kipato kizur kwa Mwezi, Wiki, hata siku zifuatazo ni Njia 5 Bora za online ambazo unaweza Tengeneza Pesa

1. Kuanzisha Blog Au Tovitu na Kuandika Makala Mbali Zinazovutia watu. Kuweza Kuweka Matangazo Kutoka kwa Makampuni Kama Adsense, Adsterra,Monetag na Nyinginezo. Hapa Unahitaji Kuwa na Mda Kidogo wa Kufuatilia Ipi ni Niche Nzuri Kwako

2. Kuanzisha Duka la Online. Hapa ni Kwa wafanya Biashara wenye Waduka ya Nguo, Electronic. Unaweza Tengeneza Website yako utakayokuwa unauza vitu vyako na Kuandika bei huko huko. na hii itafanya Wateja kukuamini zaidi

3.Kutoa Huduma za Freelancing. Unaeza kuwa unatoa baadhi ya services Katika website mbalimbali zinazoruhus hiz kazi na Kutengeneza pesa baada ya Kufanya kazi
Note: hapa unahitajik uwe na elimu ya Hicho Kitu Kwa Undani zaidi

4.Kufanya Kazi na YouTube
. Tunaona wanamuzik Wengi wapa post video zao YouTube na Watu Wengin Ukweli ni Kwamba YouTube inalipa na Kwa Mwezi Kama ukiwa na bidii unaweza Tengeneza zaidi ya 1000K ($500+) na zaidi pia kama ukiweka video zinazopata watu wengi na kwa mda mchache

5.Kufaya Kazi kama Muuzaji Katika Baadhi ya website kama eBay,Amazon,Alibaba
hapa wew unatakiwa kuwa na website pia unachukua bidhaa kutoka hiz website na una import kwako na unapanga bei yako na Hiyo Mitandao itafnya delivery 🚚 kwa Watej Wako Baada ya Kununua Bidhaaa
Niseme ukweli, forex iwe hapo. Kwa upande wangu inasaidiana sana na mshahara wangu kuendesha maisha ya kila siku
 
Mpesa Viza card ni bora sana maan haifany transaction yoyotr ile bila kutumiw OTP kweny namba yako
Kuna wakati nilinunua program fulani but unalipa na ukiweka code za Visa yako wanakupa week for trials before fully payment.

Week kuisha nimemaliza kazi yangu kitambo na nilisahau kuwa natakiwa kulipa, baada ya two week jamaa wanaomba nikamilishe payment daaa, niliwaona wajinga sana!.
 
Siyo wajinga ila shida sisi wabongo ni wapigaji sana na tumeona utapeli ni sehemu ya maisha.
VLC player kuna watu wana-donate, mtu akiingia YouTube akakutana njia ya kutatua tatizo lake ana-donate
 
Back
Top Bottom