bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Leak

    JamiiForums Tanzania Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

    Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
  2. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Research Fellow at Sera Bora

    Senior Research Fellow (SRF) Position: Senior Research Fellow (SRF) Background: SERA BORA, meaning Better Policies in Swahili is a 5-year (Jan 1, 2020 to Dec 31, 2024) USAID-Tanzania funded project awarded to Michigan State University (MSU) and implemented under the auspices of the...
  3. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  4. Da Vinci XV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EPL ndiyo ligi bora duniani

    Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni wakimpelekea mpira yule Njiti wa Rosario Argentina Aufanye mpira Anavyotaka , awanyanyapae Mabeki na...
  5. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

    Kama Mwamamichezo Halisi ( japo sijifichi ni mwana Simba SC ) nianze kwa Kuwapongeza Kaizer Chiefs FC kwa Ushindi wa Goli Nne na niwape pia Pole Simba SC kwa Kufungwa Mchezo huu wa Kwanza leo. Zifuatazo ni sababu zangu Binafsi za Kiuchambuzi Mimi Krav Maga kwanini Simba SC tumefungwa na Kaizer...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora tu muendelee kukatalia Wakenya, hizi video huonyesha kwa kweli tutawakoloni mkiachia

    Huwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kiongozi Bora

    Kiongozi bora ni yupi? Ni yule anaweza kuliunganisha Taifa bila kujali, dini, kabila, rangi, ukanda, itikadi n.k. Ni yule anaweza kuzimamia Rasilimali za Taifa kuwanufaisha wananchi wa Taifa husika. Mwenye kuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu. Hatuhitaji viongozi ambao ni madadali...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kupendwa au kuogopwa, bora nini?

    Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na si ukatili. Lakini anatakiwa kuwa makini...
  11. Richmoto Kushmoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nezha Reborn: Animation bora kabisa kwa upande wangu

    Nezha Reborn ni animation hiii imetulia sana ina mkono sijapata ona kama uliona nezha part 1 basi hii si yakukosa
  12. Red Giant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NICOLO MACHIAVELI: Kupendwa na kuogopwa, kipi bora?

    Anaandika hivu kwenye kitabu chake The prince. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kustawisha afya za watu ndio chanzo cha kujenga taifa lililo bora

    Hakuna kitu chenye thamani duniani kama mtu kuwa na afya bora. Afya bora ndio inampa mtu nguvu ya kuweza kufanya shughuli zake mbalimbali ikiwemo kujitafutia riziki kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ni kama msemo wa Kiswahili unavyosema “Bora Afya Kuliko Mali”, yaani ukiwa na mali huku afya yako...
  15. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Vitabu bora kwa ajili ya Finance

    Habari wanaJF, ni tumaini langu humu kumejaa watalaamu wa Finance and Accounting. Mie ninahitaji kujifunza na kusoma Finance personally.. kwa hivyo nahitaji recommendations ya vitabu Bora equivalent kwa Dip au Degree ya Finance. Kama utaniwekea na PDF itakuwa poa zaidi. Asanteni.
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

    Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Maslahi bora, Mishahara juu, Kazi Iendelee mishahara haijapanda kwa miaka 6!

    Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake. Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi. Kazi Iendelee!
  18. 3llyEmma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VPL: Tupange kikosi bora cha msimu 2020/2021

    Ikiwa Ligi kuu Tanzania Bara inaelekea ukingoni sio vibaya kuchambua AU Kutabiri ni wachezaji gani wanafaa kuunda KIKOSI BORA CHA MSIMU (VPL). Kuna wachezaji mbalimbali wamefanya vizuri na wanaendelea kufanya vzr kama Dube, Chama,MUKOKO, MKANDALA, Manula n.k. HAYA TWENDE > 1. Aishi MANULA 2...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa 'Kuibariki' Klabu ya Simba SC kupata Mafanikio haya makubwa ( hasa Kimataifa ) na Kuitangaza Tanzania...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni wazo bora la biashara

    Habari zenu ndugu, Natafuta wazo bora la biashara ambayo nategemea kuwekeza mtaji takribani million arobaini na tano za kitanzania na return yake napenda kushauriwa itakuaje kwa mwezi. Msimamizi, mimi mwenyewe Eneo: Dar es Salaam Jinsia yangu ni mwanaume Makazi-Dar es Salaam Umri miaka 26...
Back
Top Bottom