bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Violet Nkata

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

    Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi hapa Dar napata Smart TV bora kabisa?

    Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo? Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
  3. Ziroseventytwo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jerry Nashon dudumizi ndio mwimbaji bora wa wakati wote. Nimejiridhisha

    Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa ndio inasababisha, Tereza, ndio utajua namaanisha nini. Nimejiridhisha bila shaka yoyote kwamba...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo za singeli ni bora?

    Nitumie nyimbo za singeli kwamba unafikiri ni safi sana, nimeshasikiliza wimbo wa singeli wiki jana, na ninataka kuiliza nyimbo nyingine.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Kesho bora ya Tanzania inategemea uwepo wa Katiba Mpya

    Mabibi na mabwana ni ukweli usiopingika kuwa kesho yetu iliyo bora zaidi inategemea sana uwepo wa katiba mpya. Kwa hali tuliyofikia kunahitajika zaidi mustakabala mpya wa utangamano. Ni wazi kuwa hayupo mmoja ambaye kwa dhati yake asiyekwazika kabisa kwa lolote na katiba iliyopo labda tu, kwa...
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnamuonea sana Karia, ligi zetu ni bora kuliko za Misri na Algeria

    Kuna watu wakiongelea ligi yetu gape la mechi la kulinganisha na ligi ya uingereza unaweza ukadhani karia ni shetani aliyeandikwa kwenye vitabu vya dini..angalia ligi ya misri wana teams kama sisi wanatakiwa kila teams icheze mechi 34 angalia ndo kwanza al ahly ana mechi 19 ,pyramids ana mechi...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa wateule hawa, bora Pascal Mayalla asiteuliwe maana itakuwa kumdhalilisha tu

    Haiwezekani kichwa kilichojaa nondo na busara kama Pascal Mayalla kiwe kwenye teuzi na kundi moja la wanasiasa kama hawa. Ukiangalia majina yalivyotoka ni wazi kuwa majina anapelekewa mwenye mamlaka ya kuteua bila kuangalia nani anafaa na ananondo za nguvu kiasi gani. Ushauri tu kwa kada wa...
  8. JipuKubwa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kati ya kununua gari hapa Tanzania na kuagiza kutoka nje ni njia ipi bora?

    Wanabodi habari, Kwa heshima zote naomba kujua ipi ni njia nafuu ya kupata gari bora kati ya kununua hapa bongo au kuagiza nje ya nchi maana natarijia kununua gari hivi karibuni. Naomba ufafanuzi tafadhali.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna bora ya kuweka majiji yetu safi

    Naandika haya nikiwa katika Jiji la Dar es Salaam, moja ya sehemu chafu kimazingira katika nchi yetu. Najaribu kuwaza uhusiano uliopo kati ya umaskini na uchafu lakini bado sijaona sababu ya msingi ya umaskini wetu kutufanya tuishi katika mazingira machafu. Nimwaza njia zifuatazo zinaweza...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna Kiongozi bora kama Rais wa TFF Wallace Karia, hivyo apewe Minne yake tena au atawale hata Milele TFF

    Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine. Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu Wallace Karia aongoze Milele tu TFF kwani kafanya makubwa. Ukiona Mtu anakubaliwa na GENTAMYCINE jua ni...
  11. Jimmy patrick

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Dereva mwenye uzoefu, natafuta kazi

    Habari waungwana. Naitwa James patrick naishi Dar es salaam, nina miaka 26, natafuta kazi ya udereva Nina uzoefu wa kuendesha ndani na nje ya jiji la Dar, pia nina uzoefu wa kuendesha gari za uber kwa miaka mitatu hvyo basi ninalifahamu vyema jiji la Dar. Sichagui mkoa na wala sichagui ni...
  12. Chomo

    JamiiForums Tanzania Msigwa: bora nisiwe mbunge kuliko kuhamia CCM

    Katika mahojiano na mwandishi wa Star TV muheshimiwa Peter Msigwa asema aliitwa ofisini kwa spika ndugai akishawishiwa kuhamia ccm kwa malipo ya ubunge pia amezungumzia suala la wabunge wasio na chama maarufu kama covid 19
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Utawala bora

    Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu. Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi. Mfano kuimarisha...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ni bora kupitia hali ngumu ukiwa mikononi mwa Mungu

    Habari zenu wadau, Ngoja niwape story ya ndugu yangu mmoja hivi, ni binadam yangu ambae tulikua tumeshibana sana katika maisha ni mpambanaji wa kufa yaani jamaa alikua ni mtafutaj mno mno. Alitoka kijijini akawa anaishi kwetu baadae akajipanga akaenda kujitegemea wilaya nyingine kwa jinsi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jokate nae yumo?

    Naona jina lake nae limeanza kutajwatajwa mpaka Lema nae anamtaja. Wacha tusubiri kuona huu mtandao ukiingia matatani kama kweli ipo dhamira ya kuwashughulikia. Masikini Dada wa watu na urembo wake anaweza kutukumbusha ya Kanumba na yule dada mrembo(Lulu) aliekaa jela.
  16. Miki123

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Processors(SoC) za simu bora zinazofanya simu kuwa nzuri(2021)

    Kama unataka kumiliki simu nzuri na yenye uwezo mkubwa basi jambo la kwanza la kuangalia ni processor kwenye ulimwengu wa simu hufahamika kama SoC (System on Chip). SoC (system on chip) ni processor inayounganisha vitu vyote vinavyounda simu. Processor ya simu ni tofauti na kompyuta katika...
  17. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

    1> Philip Mangula Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni. 2> Abdulhman Kinana Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima kuisafisha CCM 3> Freeman Mbowe Huyu ndiye ameifanya CHADEMA itambulike kitaifa na kimataifa 4>...
  18. Noel G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pata TILES bora kutoka Twyford

    Jipatie tiles aina mbalimbali Kwa size 60*60, 50*50, 40*40, 30*30, 25*40 Kwa bei 50*50 _tsh 38000 kwa box..Grada A Kwa bei 40*40 _tsh 28000, 24000 ,23000 •SQM 60*60_Sqm 1.44 50*50_Sqm 1.75 40*40_Sqm 1.92 30*30_Sqm 1.53
  19. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeona hizi picha kwenye Yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Afrika

    Nimeona hizi picha kwenye yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Africa, Zione hapa baadhi Hivi kweli hakuna kitu more positive katika Aftrica? Habari yote iko hapa.. Africa's week in pictures: 21-27 May 2021
  20. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
Back
Top Bottom