Ipi bora kati ya kujiendeleza kwa degree baada ya ordinary diploma ya clinical medicine au kuanza na kufanya kaz kwa miaka kadhaa ndio ujiendeleze na

Violet Nkata

Member
Jun 3, 2021
12
2
Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
 
Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Kama nafasi ya kazi ipo anza kazi kama hamna nenda kasome.

Pia ujue kadri umri unavyo sogea ndio uwezo wa kusoma unapungua na majukumu yanaongezeka.
 
Habar zenu
Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
Mdogo wangu pambana upige shule angalau degree moja (MD) ukiwa bado huna majukumu, utanishukuru baadaye
 
Md ndio nini?
Hivi siku hizi kazi zipo nyingi kiasi cha kuamua ufanye au usifanye?
Na kusoma ni kama kwenda sokoni tu, yaani unaamua tu, unaingia chuoni na kumaliza chuo?

Nahisi kama dunia imeniacha, mambo huenda yamebadilika sana na mimi sijui chochote?
 
Unanikumbusha Yule msukuma aliebiwa milioni 9 mauzo ya ng'ombe Pugu kanunua Malaya kampakia madawa ya kulevya kwenye Chuchuu.

Huku unapanga kuficha pochi au kuficha funguo mwenxio anavua nguo Kwanza kukuhadaa na chuchu mvuto ukinyonya umekwenda salamu ziwafikie Malaya wa U.A.E na Hong Kong wametajirika Kwa mtindo huu ukipona kwenye chuchu, kinywaji ama kunusishwa ****
 
Back
Top Bottom