bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ni bora wazungu warudi tu kama zamani kutawala waziwazi kuliko hivi sasa kuwatumia ndugu zetu kina Mbowe

    Nimesikitiswa sana na Freeman na kama jina lake lilivyo kweli ni mtu huru anaweza jutumika kokote kule kufanya biashara yoyote hata kama hiyo biashara italighalimu taifa lake, ndugu zake au jamii yake hicho yeye ajali. Sikuamini masikio yangu nilipomsikia Mbowe akiifanyia advatasingi ya chanjo...
  2. Liwagu

    Wasomi acheni kulialia saizi bora mkae kimya

    Maprofesa wasomi wetu kwanini mnalialia. Nime wasikia ma pro, wakikosoa baadhi ya miradi iliyo anzishwa na hayati Magufuli. Wengine wanaponda bwawa la umeme wakisema lakizamani, wengine wanaponda, manunuzi ya ndege nk, nk, ilimradi wasikike. Swalihapa mbona wakati rais Magufuli alipokuwa hai...
  3. Mzanzibari Huru

    CAG isiwe na kazi ya kutuletea taarifa ya majizi na pesa waloziiba serikalini ni bora watafute mbinu ya kuzuia wizi, hili pendekezo

    Ndugu wana jamii Wizi serikalini na katika mashirika ya umma ni tatizo sugu. Tatizo hili lipo miaka nenda miaka rudi. Tatizo hili ni shida sana kulitatuwa kwasabu ni tatizo lililomo kwenye damu ya watendaji. Ikiwa kazi ya CAG ni kutowa ripoti kila mwaka juu ya wizi ulifanyika kila mwaka jana...
  4. A

    Mabasi mapya ya Shabiby Express yatajwa kuwa bora zaidi Tanzania

    Hivi karibuni, mfanyabiashara na Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby ameingiza mabasi 12 ya kisasa aina ya Yutong. Inaelezwa kuwa, mabasi hayo ni ya aina yake nchini kwani yana mfumo wa kisasa wa ubebaji wa abiria. Ndani ya mabasi hayo, unakutana na viti vyenye mpangilio tofauti na mabasi...
  5. Ukwelinasema

    Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    Habari za saa hizi wakuu, Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point. Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi...
Back
Top Bottom