Wapi hapa Dar napata Smart TV bora kabisa?

TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
811
968
Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo?

Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
 
Samsung au LG
Agiza zanzibar
Yule jamaa anaitwa Abdulwahid, hana hiyana. Anaweza kukuletea mpaka mlangoni.
Wacheki na wengine kwenye ule uzi wa wauza tv
 
Samsung au LG
Agiza zanzibar
Yule jamaa anaitwa Abdulwahid , hana hiyana. Anawezakukuletea mpaka mlangoni.
Wacheki na wengine kwenye ule uzi wa wauza tv
Uzi upi na huyo jamaa nawasilianaje naye? Bei ni TZS ngapi?
 
Samsung au LG
Agiza zanzibar
Yule jamaa anaitwa Abdulwahid , hana hiyana. Anawezakukuletea mpaka mlangoni.
Wacheki na wengine kwenye ule uzi wa wauza tv
Na kwa nini niagize Zanzibar? Bei ndogo au Dar hakuna?
 
Watafute Lampard Electronics wapo chini ya jengo la Simba pale msimbazi Kkoo vitu vyao viko Super sana mimi mwenyewe ni mteja wao nishanunua Tv pale
 
Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo?

Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
Kuna thread ipo inatembea humu (nadhanu jukwaa la biashara) kuhusu kuuziana TV. Ipitie kabla hujaelekea Kariakoo, itakusaidia sana kujua mwelekeo wa bei na ubora.
 
Goodvision smart 43” 680,000
Hisense Smart 43 800,000
Samsung Series 7 smart UHD 43” 1,050,000
LG smart 1,00,0000

nicheki 0714 883861
 
Back
Top Bottom