Mimi ni Dereva mwenye uzoefu, natafuta kazi

Jimmy patrick

New Member
Jun 12, 2021
3
2
Habari waungwana.

Naitwa James patrick naishi Dar es salaam, nina miaka 26, natafuta kazi ya udereva

Nina uzoefu wa kuendesha ndani na nje ya jiji la Dar, pia nina uzoefu wa kuendesha gari za uber kwa miaka mitatu hvyo basi ninalifahamu vyema jiji la Dar.

Sichagui mkoa na wala sichagui ni aina gani ya kazi ya udereva.

Naendesha magari yote isipokuwa maroli na mabasi ya mikoani!

Uzoefu wangu ni miaka 9 ya udereva! kwa yeyote mwenye kuhitaji dereva makini na mwenye kujitambua tuwasiliane kwa namba 0769130951.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom