bongotech255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa JamiiForums kuleta feature mpya kuzuia Utapeli

    ecg Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk. Sasa katika kuendana na Mitandao ya kijamii kisasa imekua ikileta feature mbalimbali za kisasa na kwa sasa iko...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

    Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza. Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026. 🔺 Machi...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Google wataweza kubadili email zao za @gmail.com kwa urahisi

    Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi. Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026 japo Kwa sasa umeanza nchini India ambapo wataweza kurekebisha email zao kwa urahisi tuchukulie barua...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Walikosea majaribio wakatengeneza watu wasiokufa kabisa

    Umeshawahi kutizama hii movie aiseeh Movie hii imechezwa eneo moja linaitwa Seoul liko Korea kusini, humu ndani kuna mtaalamu mzee aa kupiga watu mabanzi ya nguvu 😀😀 anaitwa Man Dong Seok. Movie hii ni historia ya kweli Kabisa iliyotoka Karne ya Kumi na nane miaka ya 1958 ambapo kuna jamaa...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Walichoshindwa Apple kutoka kwenye simu za Android

    Kama umeshawahi kutumia simu ya iphone ukifungua apps nyingi wakati unatumia simu yako, ukizitaka kuzifunga kwa pamoja haiwezekani kabisa ? Unajua kwanini 🙂. Mtumiaji wa simu ya iphone hawezi kuzifunga apps zote alizozifungia kwa wakati mmoja kutokana na Mfumo wa iOS ulioundwa kuweza kudhibiti...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imeleta feature mpya inaitwa Simu ya dharura kwa watumiaji wa Android

    Kama unatumia simu ya android Kuna feature mpya inakuja upande wa phone ambapo Google wametambulisha kinaitwa "Urgent calling" kwenye Simu za Android. Kupitia skrini ya kupiga simu utaweza kuona feature mpya ya Call Reason - Mark as Urgent inakupa nafasi ya kumjulisha / kumwambia Mtu...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗞𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗶𝗿𝘁𝗲𝗹 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗱𝗶𝗮 𝘇𝗶𝗹𝗲 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘂𝗹𝗶𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

    Nimeshangaa Sana Kampuni ya Airtel walichonifanyia aiseeh @airtel_tanzania Kuna watu wengi wanalalamika kuhusu kushindwa kufanya fidia juu ya kilichotokea Mwezi mmoja uliyopita. Toka oktoba 29 mwaka huu 2025 mitandao mingi ilifungwa kutokana na Changamoto iliyotokea kipindi cha Uchaguzi...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji Mtandao wa X kujulikana walipo

    Hakuna Tena kujificha kama unatumia mtandao wa X jua utaweza kutambuliwa😎. Mtandao wa X (Twitter) imeanza kufanya majaribio ya kuweka kipengele kipya kinaitwa "About this Account" ikiwa na uwezo wa kuonyesha Taarifa nyingi za akaunti Yako. Taarifa mbalimbali zittaweza kuonyeshwa kuhusu...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗲𝘀𝗲𝗷𝗶 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗕𝗶𝗻𝗮𝗱𝗮𝗺𝘂 𝗯𝗮𝘀𝗶 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗸𝘄𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗮𝗶𝘀𝗲𝗲𝗵!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa 👇
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia password kuzima simu yako

    Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aingize password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana. Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 𝗻𝗮 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗻𝗮𝗻𝗶 𝗯𝗶𝗻𝗴𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗰𝗮𝗹𝗹

    Baada ya miaka mingi kupitia hatimaye Google wamefanya Mabadiliko kwenye app ya phone call kwa Watumiaji wa simu za Android. Lakini pia kwa Watumiaji wa iphone walifanyiwa Mabadiliko kupitia ios 26 , lakini mpaka leo 😌 mtumiaji wa simu ya iphone akipigiwa simu hakuna sehemu ya kukata 😁 au...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. 🗯️ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania China inaunda roboti mwenye uwezo wa kubeba mimba na kuzalisha binadamu

    Kweli muda unakimbia sana 🕦, kutoka Kuwa movie mpaka maisha Halisi watu watakua na uwezo wa kufunga ndoa na maroboti wa Ai, na Roboti zitakua na uwezo wa kubeba Mimba. China iko kwenye mpango wa kutengeneza roboti mwenye uwezo mkubwa wa kuweza kuzaa binadamu. Tumbo la uzazi la bandia...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗜𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝟭𝟭 𝗽𝗹𝗮𝗶𝗻 𝗶𝗻𝗮𝗳𝗮𝗮 𝗸𝘂𝗻𝘂𝗻𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

    🗯️ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025. 🚀 Unajua kwanini?? 🔰 Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗥𝗘𝗗𝗠𝗜 𝗿𝗮𝘀𝗺𝗶 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗝𝗶𝗻𝗮 𝗝𝗶𝗽𝘆𝗮

    🗯️ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI. 🗯️ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝟲 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝗪𝗮𝗻𝗮𝘀𝗮𝘆𝗮𝗻𝘀𝗶 𝗵𝗮𝘄𝗮𝗷𝘂𝗶 𝗸𝘄𝗮𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝗸𝗶𝘁𝗲𝗺𝗯𝗲𝗹𝗲𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗸𝘂𝗳𝗮

    Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile. Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena. 🚀 Ziwa Natroni...
Back
Top Bottom