๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ

๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐˜€๐˜๐—ฎ๐˜๐˜‚๐˜€ ๐˜‡๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ท๐˜‚๐˜‚ ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620
Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka.

Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa imeachiwa kwa watumiaji wa simu za Android wanatumia beta version lakini kwa watu kadhaa sio wote.

2_20260429_082341_0001.png


Baadhi ya watu wanatumia Whatsapp beta wataweza kuona mabadiliko ambapo wataona status imeamia upande wa chati iko juu kabisa kupitia toleo la Whatsapp beta version 2.26.17.1 unaweza Fanya update playstore ukaanza kufanya majaribio.
 
Sawasawa mkuu, ila mwaka huu wangu... maana bibi ya tatu haishi kunitupia status za vijembe kwa wake wenzie alooo....๐Ÿคฃ
downloadfile-5.jpg
 
Back
Top Bottom