Bongo Kilimo Bado sana tena sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,921
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee.

Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena sana. Fikiria vitu kama Strawberry zinatoka South Africa hii ni aibu kubwa sana, strawberry zinastawi maeneo mengi ukitoa ukanda wa pwani tu kwa sababu ya joto kari ila cha kusikitisha strawberry zinatoka nje na ni zao rahisi sana kulima.

Nikakutana na uyoga wa Buton kutoka Nairobi Kenya, kwamba uyoga wakenya wanakuja kuuza Tanzania na sisi tumelala, kuna matunda mengi na mboga nyingi zinatoka nje Kenya au South Africa.

Na hawa jamaa wa Super Market si kwamba wanapenda kununua nje hapana ila hakuna namna mimi wakato wote nisha waji kuwafuata na unakuta wako tiyari kununua kabisa, shida wanayo sema huwa ni janja janja za Watanzania, usanii mwingi sana.

Ukitukuta kwenye Magroup ya Whatsapp na Facebook tunajadili Kilimo na ufugaji unaweza dhania tunashindana sasa na nchi kama Marekani kumbe ni political Farming tunafanya.

Niliwahi kuta vitunguu wakenya wanachukua kule karatu wanapeleka Nairobi wana sort na wana park wanarudisha Tanzania kuuza, sasa hapa tusiseme kweli tumerogwa?
 
Attachments

  • IMG_20220624_112506.jpg
    IMG_20220624_112506.jpg
    636 KB · Views: 37

Umejudge tu bila kutoa neno Kwa watanzania.Hujasaidia kitu mkuu
 
Tatizo ni ubora....

Maparachichi pamoja na kusifika kote yameuzwa thamani ya bilioni 34 nje ya Tz
 
Ni kweli unachosema. Personally nina hiyo experience, niliwahi kulima uyoga (oyster) nkiwa arusha, sehem zote nilizoenda walisema wanataka button, lakn production ya button n very expensive. Na pia ujanja ni mwingi. Kuna mengi ya kujifunza hasahasa kwenye horticulture
 
Mpaka pale ambapo vijana tutajua kuwa kilimo ni kazi kazi zingine,nadhani ndo utakuwa mwanzo wa maendeleo ya kilimo
 
Mleta maada uko sahihi kwa ulichokiongea. Ila mara nyingine hao jamaa huwa wako selective Sana. Wanajua aina ya wateja wao asilimia kubwa ni watu wa kipato cha Kati. Ila ukienda hapo kuomba uwauzie watakupa conditions kibao. Kuanzia sifa ya zao lako, aina ya mbolea unayotakiwa kutumia, sijui water content kwenye bidhaa yako, terms zao katika kulipa, n.k. wakikupa tu muongozo wao unaweza kukimbia mkuu, amini ninachokwambia.
Wakulima wengi wa ndani sio Kama hawapendi kula hizo deals, tatizo ni terms zao.
Mfano hata KFC pale nenda karibu kuuliza kiazi Chao wanakitoa wapi, utashangaa! Wao wanataka pia bidhaa zao ziwe traceable from the scratch. Sio ununue tu huko njombe umletee yeye kiazi, hataki kusimia hizo Mambo. Anataka kujua mbegu umeitoa wapi, umelima wapi, mbolea ipi na dawa ipi umetumia, nk.ili mteja Kama atadhurika ijulikane source ya tatizo, nk.
 
Kama ni hivi, kazi ipoo!!
 
Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee.

Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena sana. Fikiria vitu kama Strawberry zinatoka South Africa hii ni aibu kubwa sana, strawberry zinastawi maeneo mengi ukitoa ukanda wa pwani tu kwa sababu ya joto kari ila cha kusikitisha strawberry zinatoka nje na ni zao rahisi sana kulima.

Nikakutana na uyoga wa Buton kutoka Nairobi Kenya, kwamba uyoga wakenya wanakuja kuuza Tanzania na sisi tumelala, kuna matunda mengi na mboga nyingi zinatoka nje Kenya au South Africa.

Na hawa jamaa wa Super Market si kwamba wanapenda kununua nje hapana ila hakuna namna mimi wakato wote nisha waji kuwafuata na unakuta wako tiyari kununua kabisa, shida wanayo sema huwa ni janja janja za Watanzania, usanii mwingi sana.

Ukitukuta kwenye Magroup ya Whatsapp na Facebook tunajadili Kilimo na ufugaji unaweza dhania tunashindana sasa na nchi kama Marekani kumbe ni political Farming tunafanya.

Niliwahi kuta vitunguu wakenya wanachukua kule karatu wanapeleka Nairobi wana sort na wana park wanarudisha Tanzania kuuza, sasa hapa tusiseme kweli tumerogwa?
Mkuu mbona MORO watu wanalima strawberry na hali ya hewa ni joto? na zinakubali vizuri tu . Nimejaribu kusoma makala mbalimbali za kilimo Cha strawberry zinaeleza strawberry ni zao linalo stawi kwenye hali ya hewa ya aina yoyote kikubwa maji ya kumwagilia yawe available tu.
 
Wanalima juu ya ile milima mkuu na quailty ni tatizo, shida sio kulima bali quality, ile quailty ni ya kuuziana sisi mitaani
 
Mkuu mbona MORO watu wanalima strawberry na hali ya hewa ni joto? na zinakubali vizuri tu . Nimejaribu kusoma makala mbalimbali za kilimo Cha strawberry zinaeleza strawberry ni zao linalo stawi kwenye hali ya hewa ya aina yoyote kikubwa maji ya kumwagilia yawe available tu.
Maeneo ya joto huwezi lima strawberry, Morogoro wanalima juu ile milima, strawbery zinapenda jua ila sio joto kari, Jua na Joto ni votu viwili tofauti, Joto la Dar ni zaidi ya 30 hivyo strawbery haziwezi zaa ila matunda kamwe
 
Pia bidhaa za wakulima wetu hazina consistency,zinabadilika badilika kutokana na ulimaji wetu
 
Sidhani kama hata hao wataalamu wetu wa kilimo kutoka sua wanajua jinsi ya kuzalisha mbegu za uyoga
 
Mleta maada uko sahihi kwa ulichokiongea. Ila mara nyingine hao jamaa huwa wako selective Sana. Wanajua aina ya wateja wao asilimia kubwa ni watu wa kipato cha Kati. Ila ukienda hapo kuomba uwauzie watakupa conditions kibao. Kuanzia sifa ya zao lako, aina ya mbolea unayotakiwa kutumia, sijui water content kwenye bidhaa yako, terms zao katika kulipa, n.k. wakikupa tu muongozo wao unaweza kukimbia mkuu, amini ninachokwambia.
Wakulima wengi wa ndani sio Kama hawapendi kula hizo deals, tatizo ni terms zao.
Mfano hata KFC pale nenda karibu kuuliza kiazi Chao wanakitoa wapi, utashangaa! Wao wanataka pia bidhaa zao ziwe traceable from the scratch. Sio ununue tu huko njombe umletee yeye kiazi, hataki kusimia hizo Mambo. Anataka kujua mbegu umeitoa wapi, umelima wapi, mbolea ipi na dawa ipi umetumia, nk.ili mteja Kama atadhurika ijulikane source ya tatizo, nk.

Ulichoongea ni sahihi, na sio kwamba wanaweka hizo TC's kuwabana wakulima, ila ni lazima zao lilimwe kwa utaratibu unaozingatia usalama wa mlaji, mfano mimi ni nimewah fanya kaz shamba moja, walinichukia kwa aina yang ya upigaji wa dawa, aisee wakulima wengi wanapiga dawa bila mpangilio tena kama kaambiwa cc 20 yeye atapiga cc 40 , unategemea hapa utalima cabbage ukauze England , yaan ukinunua zao lichunguze linacontent kubwa za dawa, mbolea wanamwagia tu bila kujua taratibu, yaan Tanzania tunakosea hapa GAP= Good agriculture practice
 
Wanasema weka nyingi ndio watakufa
 
Back
Top Bottom