Kumbe tunaochati Jamiiforums kuanzia Saa 8 hadi Saa 12 ndiyo tupo zetu 'Mamtoni' na wanaochati Nje ya hapo wapo 'Uswahilini' Bongo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu?

Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya kutoka huku Mamtoni ( Ulaya na Marekani ) tulipo ili tuwe 'tunachati' zetu kuanzia Saa 8 Usiku hadi Saa 12 za Asubuhi.

Kuchati JamiiForums Usiku mnene wa Saa 8 hadi Asubuhi Saa 12 ni raha asikuambie Mtu kwani Wote tunaokutana huwa tuna Akili za Kizungu Kizungu tupu tu.

Sasa inaelekea Saa 12 za Asubuhi angalia 'Fungulia Mbwa' itakavyoanza na mtiririko cha 'Chattings' za Fujo Fujo tu kutoka kwa Waswahili ambao wanaamka Asubuhi hii wakiwa huko 'Bongo Land' kwa Walalahoi tupu.

Umeona wapi Mzanaki anaishi Tanzania? Huko wataishi ( watakaa ) tu Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao Ulaya na Marekani wanaiangalia tu kupitia ITV Tanzania na Azam Tv pekee.

Jamani wana JamiiForums mtakaoamka Saa 12 hii ya Asubuhi na mlioko huko Uswahilini kwenu Tanzania karibuni sana hapa Washington DC nchini Marekani ambapo ndiyo Makazi yangu kwa sasa GENTAMYCINE.

Kwa sasa nami naenda Kulala na nikiamka Kunywa chai na Rais Joe Biden na Makamu wake Saa 3 Kamili za Asubuhi tutakuwa wote tena hapa JamiiForums ili mnipe yanayojiri huko Kwenu Uswahili, Ziara ya Mtu Senegal na mmekubaliana vipi na Matokeo ya Mitihani ya Wanafunzi wenu wa Kidato cha Sita na Maendeleo ya Treni ya SGR, Bwawa la Rufiji na Mradi wa Bomba la Mafuta la Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga Tanzania.

Muwe na Asubuhi Njema wana JamiiForums wote na nawapenda kwa Jina la Yesu Kristo.

Mbarikiwe nyote.
 
hahahahha!umeenda lini mamtoni Genta??
 
a5d8f075-9263-4b97-a866-a15feb8a1eb6.jpg
 
Back
Top Bottom