Wasanii Bongo wanaotumia madawa ya kuongeza Misuli, Steroids

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.

Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao.

Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.

Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.

Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone

Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa

1. Diamond platnums
2. Harmonize konde
3. Kalisa
4. Jux
5. Zola d

Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.

Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misuli

images (1).jpeg
 
Aisee mambo ya kuwa na mwili na Misuli ya kuvutia imepelekea wasanii wengi wajitoe muhanga kula dawa Ili waweze kupata Misuli mikubwa na inayoonekana ilinkuimarisha brand zao.

Niwekee wazi tu SI rahisi Kwa mtu yeyote kubeba vyuma na kuwa na mwili wenye Misuli, hata magwiji kama Anorld, Rambo walikiri kutumia dawa yaani steroids Ili kuboresha muonekano wao. Hata wewe mwanajamvini ukiamua unanunua na unapiga tizi kidogo sana Misuli hiyo inakuja.
Ukinywa hizi dawa utajazia tu ila hazikuongezi nguvu.
Moja ya madhara ya madawa haya ni ugonjwa wa moyo, pressure, lakini pia ukinywa unapata mzuka sana wa kusex kwakuwa inaongeza testorine hormone,
Wasanii wanaokunywa dawa kuongeza Misuli ni Hawa
1. Diamond platnums

2. Harmonize konde

3. Kalisa
Hawa ni wachache ila wapo wengi sana, maromboso aliambiwa asitumie kwakuwa ana ugonjwa wa moyo. Sasa msijekujiuliza mtu alikuwa kimbaumbau Leo Misuli hiyo, hata yule baunsa wa mange ni hivo hivo.
Picha hapa chini ni ng'ombe waliyemnywesha dawa hizo za misulim
Mazee vipi umeongelea watu, na unatuletea picha ya Ng'ombe ...!!
 
Back
Top Bottom