bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
  2. JamiiForums Tanzania WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
  3. JamiiForums Tanzania Bongo bwana😂😂

    Iv kweli ananipenda au muongo tyuu😂🤷 Naombeni ushauri wenu
  4. JamiiForums Tanzania Sehemu nyingi za starehe Bongo ni za kawaida

    Ukiachana na Haile salasie strip, ambazo kuna Elements, SamakiSamaki na sehemu nyingi zengine za starehe. Clubs kama Maison na Havoc, Tips na wavuvi camp. Sehemu kwengine Most ni average hata Bar iwe nzuri vipi. Kwanza the selection ya music ni ileile, Ma dj wanapiga nyimbo zile zile trendy...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa Tanzania?

    Oya let's share wewe kwa maono yako unaona aina gani ya tovuti zimesahaulika kuundwa ili maprogrammer wetu waweze kufix mambo? kinara wetu Chief-Mkwawa Binadamu Mtakatifu Hawa ndo ninaowajua humu, karibuni.
  7. JamiiForums Tanzania Nimewaza kufanya blogging kama part time, kiuhalisia kwa hapa bongo nitaweza kunufaika kiuchumi?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kutinga kwenye uwanja, nimekuwa nikicheki interviews za lisaa ama zaidi kwa bloggers waliofanikiwa na kiukweli natamani walau nipate walau hata theluthi ya mafanikio yao hasa napoona kwamba ushindani wa blogs bado ni mdogo hapa kwetu kwenye niche kibao...
  8. JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria kifo cha Alphonce Mawazo Roho inakataa kabisa kuishi Bongo, bora nikimbie

    Huwa nawaza sana kuuawa kwa huyu mwamba halafu mbaya zaidi huzuni hii hunijia wakati unapigwa wimbo wa taifa kwamba Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wote. Yaani Mungu abariki wauwaji? Hakika baadhi ya vesi za kinafiki kwenye wimbo wa taifa ziondolewe. Yote kwa yote mimi nafsi yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Ni dealer yupi hapa bongo anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya 0 kilometer ?

    Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama, 1. Mercedes Benz S class (2022) 2. Audi A8(2022) 3. Lexus LS (2022) 4. BMW 7 SERIES (2022) 5. Volvo s90 (2022) 6. Volkswagen Atlas (2022) 7...
  10. JamiiForums Tanzania Vichwa viwili na Sanaa ya Bongo

    Habari za week end wadau! Katika tafakuri zangu kuhusu Sanaa yetu ya bongo, nimeona niandike Uzi mfupi kuhusu artists hasa wale wenye vichwa viwili( mabeberu wenzangu). Mwenyezi Mungu ametujalia vichwa viwili, Cha juu na Cha chini. Ukweli ni kwamba vyote viwili vinatakiwa kufanya kazi, lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  12. JamiiForums Tanzania Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

    Kwangu mimi MFALME - Q chief Nikilala naota - jide Namtafuta aseme Kama unataka demu - Solo thang kazi ipo - wanaume Sintobadilika - Mie tee Malkia - Ray C Uko wapi Soge sogea Na wewe Milele Unanimaliza Umenikataa Nipe love - AY Ingewezekana - D knob
  13. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna tetesi ligi kuu yetu wapo wachezaji wa nje wanakunja mpaka milioni 10 kila mwezi. Je, kuna mzawa yeyote anealipwa hata milioni 5 ?

    Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi? Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  16. JamiiForums Tanzania Kibongo bongo, Kwa maslahi kiuchumi yupi ana nafuu kati ya mchezaji wa timu ya kawaida ligi kuu au msanii wa levo za kawaida?

    Kipato kiwe kinaingizwa kwa kazi yake tukiachana na kulelewa na mashuga mami, mishe nyeusi za kubeba ngada, mali za baba kwa watoto wa kishua zisihusike. A. Mchezaji wa kawaida kwenye timu ya kawaida, mfano mchezaji awe anaichezea Kagera Sugar, Mtibwa, Mbeya city, Dodoma jiji, n.k. B. Msanii...
  17. JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo hawajui tofauti ya 'defend' na 'defence'

    Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake. Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence. Defend ni verb Defence ni noun Verb ni kitendo Noun ni nomino au jina Hivyo basi defend ni kulinda Defence ni ulinzi Msikie huyu...
  18. JamiiForums Tanzania Niagize simu nje au ninunue hapa hapa Bongo?

    Nataka kununua iPhone 12 Pro Max au S21 Ultra, je ni bora niagize nje (eBay) ama ninunue tu Makumbusho?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

    Bongo kila kitu ni kuchakachua tu! Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine! Aisee nimejaribu...
  20. JamiiForums Tanzania Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…