Amapiano kali zaidi kuwahi kutokea Bongo hii (Top 5)

Nimejiridhisha na Kwa mafanikio hizi ndo nyimbo Tani Kali zaidi za amapiano kuwahi kutengenezwa TAnzania

1. Single Again - Harmonize
2. Mama Amina - Mario
3. Ticha- Harmonize
4. Shetani - Marimboso
5. Anajikosha - harmonize
Dah hiyo ngoma ya shetani asee naweza sikiliza mpka watu wanune nishawahi toka moshi mpka bagamoyo wife akachomoa flash kavimba kumbe muda wote amesikiliza mpka kachoka. Miziki ni swala la hisia na moyo kupenda ila hio ngoma kwenye hizi beat za amapiano imenikosha. Konde naye anavibiti sio mchezo na mtoto marioo kiufupi midundo ikikaa sawa haijalishi ni hamo vann mondi kiba mm napita nao wote
 
Back
Top Bottom