Moja ya njia rahisi ya kuipeleka Bongo Hip-hop international

Landrover 109

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
366
565
Peace to brothers and sisters!

Najua ziko njia kadhaa zinazoweza kuwapush wasanii wetu wa Hip-hop kuvuka mipaka hata nje ya Afrika,kutegemeana na strategies na plans za msanii husika.

Nchi yetu imebarikiwa vipaji vingi sana vya ma Mc na Rappers wakali,japo hutumia lugha mama pendwa ya kiswahili Zaid kuliko kiingereza,kifaransa nk.( Hili ni jambo jema la kutangaza lugha yetu). Wasanii km Fid Q, Nikki mbishi, incredible, Songa,John Makini,Wakazi,Nash Mc nk Wana uwezo wa kuwa international figures na kulipa sifa Taifa letu,ukizingatia baadhi Yao ni bilingual.

Upande wa pili tuna wasanii Ambao tayari ni international artists na wengine wanaelekea kuwa( Ambao wengi wanaimba) mf. Diamond,Alikiba, Harmonize,Zuchu, mboso,Nandy, nk.

Ni kipi kinachokwamisha? Ni egoism ya wasanii wakubwa kuweka conditions Kali za collaborations au ni wasanii wa Hip-hop kujinabu wanasimamia misingi Kwa kulinda utamaduni usiwe absorbed? Tukiangalia mfano USA, Hip-hop ilipozaliwa ilipata millage kubwa world wide baada ya kuingiliana na aina nyingine ya muziki km soul,rock, jazz,gospel,blues nk lakini bila kuwa absorbed.

Collabo km za Nas/ Mary J blidge, Jay Z/ Rihanna, Busta Rhymes nk. Ziliweza kuiongoza Mashabiki kwenye game. Na hapa bongo naamini collabo zifuatazo zinaweza kuwa hit songs kubwa sana. Mf. Fid Qft Alikiba+ Diamond, Nikki mbishi ft Harmonize+ Fid Q, One incredible ft Nandy+ Mboso , Nash Mc ft Chege Chigunda+ Mbosso nk, Ally k ft John Makini+ Fid Q nk.

Nb: Hip-hop is not a finite room of only rap music ENT,but infinity realm of consciousness,lakini piiaa as music is the big biz right now,let's make joints which make us dance while getting knowledge.

Kuikosoa bila kujazia nyama is not the way of A Great Thinker.

Finito.
 
Hip-hop sio muziki wetu, ni bora nguvu hizo tungeelekeza kwenye Singeli, taarabu na mchiriku
Ni sawa pia. Hata hizo singeli na taarab wasanii wakubwa wapo kwenye nafasi ya kuzipush ila wanapush amapiano Ambao pia sio mziki wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom