black

  1. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Kodak Black in his tesla model x on gold 24's daytons

  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wenye grocery nawapa mbinu wekeni na black and white ya kupima

    Kwenye mambo ya kazi hatuchezi tunachezea mshahara sitaki uje unilaumu sikukupa akili weka na ile B&W ya kupima kuanzia buku.kale kapombe kazuri sana kana stimu lake special yaani kanakukamata mwili wote unakuwa wa moto.
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tim Scott the first (to be) real Black man in the white house!

    Huyu jamaa ndio atakuwa the first real black man to be president (vice) wa USA na labda pia president if something happens to President D.Trump na kushindwa kuendelea na urais wa USA. God Bless D.Trump! Tim Scott 100% black man like us!
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania Black Friday ya nini?

    Jana tarehe 23, Novemba 2023 ilikuwa ni sikukuu ya Thanksgiving nchini Marekani. Kama hujui sikukuu hiyo ina maana gani huko Marekani, zama Google au YouTube [zote hizo ni kampuni za Kimarekani 😉 🇺🇸] ufute ujinga. Thanksgiving huwa ni siku ya Alhamisi ya mwisho ya mwezi Novemba kila mwaka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania America ,Europe na Asia wapewe mauwa yao

    IPO wazi hawa jamaa WA Asia (china , south Korea na,japan) Europe na america wamebadilisha maisha ya hii planet earth kweny angle ya science, mathematics, sports n.k isingekua wao Bado tungekua tunaishi maporini. Kama mzungu na muasia angelala Leo ungekuta hakuna simu,hakuna Tv,hakuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Madhara ya matumizi ya super black kwenye nywele

    Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote. Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema tukafafahamu:- 1) Hupunguza uimara wa nywele na kufanya nywele kuwa laini zaidi. 2) Hupunguza uwezo wa nywele...
  8. Maleven

    JamiiForums Tanzania Black people are more physical beings while white people are more intellectual being

    black people are more physical being thus why they are good in sport and games. They rarely think abstractly, their thinking patterns are more connected to physical world. Black people are more resilient to physical hardship that emotions and psychological one. This ia my own observations
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Duh hii Kali ya mwaka, nimepokea simu kutoka kwa mwana ukoo ambae ni black sheep kwenye familia yake. Alichoniambia kimenishangaza

    Black sheep ; Mdogo wangu shemeji yako ana mimba ina miezi minane sasa nakupa taarifa mapema kabisa ujue kaka mwezi ujao anajifungua so nikija kukupigia simu kukuomba msaada usishangae. Pambana pambana kaka unitafutie hela kidogo ili isaidie atakapo jifungua. Me: siko powa kaka siwezi...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Urusi aliuawa kwenye lile shambulizi la kambi ya Black fleet, Crimea

    Makamanda wa Urusi waliofia Ukraine wazidi kuongezeka, kumbe na huyu alifagiwa humo humo na lile kombora ambalo lilichakaza kambi yote na kuua wanajeshi wengi sana na kulipua kila kitu..... Commander of the Russian Black Sea Fleet Vice-Admiral Viktor Sokolov salutes during a send-off ceremony...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  12. The Shah of Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Black Africans to Disappear on Earth in 1000 Years

    Possibly in 700 years, what we see as black Africa lands will be populated with Arab and white. Black will be a rare minority on the land, just like the Neanderthal or the red indians. Why? Black Africans are busy killing each other and surrendering control of their resources to superior races...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

    Kwa zaidi ya siku 10 nimekuwa nikitafuta dola 12,000 kwa ajili ya kuweza kuagiza vitu fulani China. Nimezunguka kwenye mabenki yote makubwa, jibu lao hatuna USD. Nimeenda bureau de change, nako nimezunguka sana. Jana jioni nikafika kwenye duka moja la kubadilishia fedha, nilipoingia ndani...
  14. THE SPIRIT THINKER

    JamiiForums Tanzania BLACK LIST(UJUMBE WENYE MAUTI)

    THE SPIRIT THINKER. UTANGULIZI Berlin, Ujerumani SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii waliokuwa wamefurika kwenye barabara ya Unter den Linden. Usikurupuke, alijiambia. Lazima uwe mtulivu...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Black Box ya Precision Air namba PW 494 -5H-PWF iliyopata ajali ipo wapi?

    Salaam, Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya. Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakuwaje taarifa za kisababishi cha ajali zinatolewa kabla ya kupata black box

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema mpaka sasa idadi ya waliofariki katika ajali ya Ndege ya Precision Air wamefikia 19 huku akisisitiza kuwa kwa namna ndege hiyo ilivyotumbukia katika ziwa Victoria kwa kutangulizi kichwa hakuna matumaini ya rubani wa ndege hiyo kuwa hai. Waziri mkuu amesema...
  17. Neter

    JamiiForums Tanzania A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma

    A Man Attacks A Black Woman In France And Get Instant Karma A man attacks a woman in France, until the woman body-slams him in self-defense.
  18. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Preview ya Black Panther Wakanda Forever 2022

    Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T. Sankara, P. Lumumba, Kit Harington, Charlie Cox, Nyerere, fidel Castro, Luck Dube,JPM, Jidenna, Runtown...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli za kivita za Urusi zapokea kipigo cha drones kule Black sea

    Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine zimepokea mapigo balaa ===================== Russia has accused Ukraine of carrying out a "massive" drone...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika black people hawakuwa Citizens

    Hivi nini Watanzania hujiita Watanganyikwa wakati ukweli ni kwamba hawakuwa raia wa Tanganyika? Wahindi na Waarabu ndio waliokuwa citizens wa nchi ya Tanganyika. Mtu mweusi amepata citizenship mara ya kwanza baada ya 1961. Sasa kwa nini mnajiita Watanganyika wakati hamjawahi kuwa citizens wa...
Back
Top Bottom