Madhara ya matumizi ya super black kwenye nywele

ANTDOTE

JF-Expert Member
Oct 14, 2023
217
605
Screenshot_20231031-120912.jpg

Matumizi ya super black dyes kwa ajili ya kupendezesha nywele yamekuwa maarufu sana hivi Sasa kwa Jinsi na Rika zote.

Kwa ufupi yafuatayo ni madhara ya kutumia dye hizi ambayo ni vema tukafafahamu:-

1) Hupunguza uimara wa nywele na kufanya nywele kuwa laini zaidi.

2) Hupunguza uwezo wa nywele kuhimili joto.

3) Huzuia unyevunyevu kichwani na kufanya fuvu kuwa kavu.

4) Inaweza kuleta matatizo ya ngozi (dermatitis)

5) Ni hatari zaidi kwa wajawazito

6) Inaweza kuleta saratani ya ngozi.

7) Hudhoofisha afya ya nywele.

8) Matumizi yake yanatakiwa endelevu kwani Ukiacha utachukiza sana kwa mabadiliko utakayoyaona ghafla kwenye nywele zako.
 
View attachment 2798755

Naomba kufahamu viambata sumu vilivyopo kwenye hii superblack ili nioainishe na madhara uliyoyaainisha hapo juu kikamilifu
 
Back
Top Bottom