Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni.
Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale....
A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed.
Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon.
Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile
1) Tiger
2) Simba
3) Leopard, Cheetah (chui)
4) Mamba
5) King cobra, Black mamba nk.
6) Honey badger...
Wasalaam wana JF
Wanasema kuwa uyaone. Katika pitapita zangu kwenye maandishi na vipindi mahususi vya runinga nilipata kusoma na kuona mjadala kuhusu rangi ya bikira Maria. Kuna sanamu iliyowekwa kwenye makanisa ya kale na awali yakionesha huyo mama kuwa alikua mtu mweusi. Black Madonna
Uweusi...
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Ukrainian officials report that a large Russian support ship Vsevolod Bobrov has caught on fire somewhere in the Black Sea.
Vsevolod Bobrov is a large ship (almost 10,000 tons displacement), and very new, entering service only last year.
Wakubwa salaam,
Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
This kind of colonialism is amazing ni militarized kwenye utendaji ila ni Democratic kwenye kuchukua hatamu za uongozi. Sasa si bora nchi zenye Mapinduzi ya kijeshi hata kiongozi akijimwamba inakuwa sawa halali yake kuliko hawa kupe.
Black Colour (Rangi Nyeusi) - Ni Rangi inayoashiria Giza (Darkness).
Kwa vizazi vya kale vya Ancient Egypt na Greece ni rangi inayorepresent Underworld.
Kwa modern world, black colour ni rangi yenye maana nyingi mbalimbali, huku ikitumika kuwakilisha baadhi ya vitu kama Strength (Nguvu)...
Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa
Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen
Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen
Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k
Ukiisikiliza vizuri ngoma...
Black Diamond Apples from Tibet
The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
The brutal words of Richard Smith, famous British guitarist, during an interview.
I have been asked many times what I think of Africans, here is what I think of Africans, without language and without taboos.
They sell everything to the highest bidder, even the land. Then they poison...
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.
WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund
Nickname(s)
Die Borussen
Die Schwarzgelben (The Black and Yellows)
Der BVB...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Baada ya kusubiria muda mreefu takribani mwaka ni siku kadhaa hatimae July 9 Black widow imeachiwa rasmi. Kwa wanaotumia Disney plus wataipata kwa 30$ though sidhani kama Disney+ inapatika bongo wengine mtaipata Cinema huko...Wazee wa vya bure Torrent ipo mapema tu watu walishaidaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.