bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Madinah sasa ruksa kwa wasio Waislam kutembelea bila vikwazo. Jionee safari ya Kutoka jiji la Jeddah kuelekea Madinah

    Nimeipenda sana hii safari ya wasio Waislam wakielezea na wakionesha wepesi wa safari yao kutokea jiji la Jeddah kuelekea Madinah. Na chini hapa wazungu wengine , watu wazima kidogo, wakishangaa zaidi na walichokutana nancho Madinah: Tena sasa kuna "virtual tour" ya Madinah, bofya chini...
  2. JamiiForums Tanzania Bila Chadema Maisha ya Vijana wa CCM (Machawa)ni ya Tabu mno.

    Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema pamoja na Viongozi Wake Waandamizi.
  3. JamiiForums Tanzania Hii misaada ya EU kukuza uchumi hakuna namna ya sisi wananchi kuwaomba directly ama wao wasimamie? Kuipa serikali zinatafunwa bila kufikia wananchi

    Ishakuwa kawaida kila mara kusikia umoja wa mataifa ya i;aya wanatoa misaa ya ku;eta unafuu wa hali za uchumi kwa wamamchi, pesa zinatolewa lakini zinaishia juu kwa juu Maana tangu zamani tunasikia tu misaada ya kuwainua watanzania kiujasiriamali ili wakuze uchumi inatoka kila mwaka. Ajabu ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Bila DP World tutabaki nyuma ya Rwanda daima

    Nimemsikiliza Rostam Aziz anavyochambua hasara za matumizi ya bandari ya Dar es salaam na nimemuelewa kumbe tatizo ni uendeshaji mbovu na wa kizamani na unaotoa sababu za rushwa. Kwa mifano yake hiyo inaonekana nchi jirani za Tanzania wameshatujua na wamekata tamaa na sisi ndio sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  7. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumtongoza mwanamke fanya bila kusita

    Mwenzenu kuna manzi nilimuelewa sana tena sana. Hizi ngoja ngoja tukaja poteana. Tumekuja kuonana baadae manzi ana mkwanja hatari! Sasa siwezi kumtokea saizi maana itaonekana nimefuata mkwanja wake. Inabidi niendelee tu kumtamani kwa mbali.
  8. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
  9. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Kaizer Chief wanajua sana. Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa. Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
  10. JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  11. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu mnapotea, bila nidhamu ya pesa utaenda kukariri plate number za wenzako

    Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu). Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya laki 2 na ukaji-shukuru kwa kutumia laki moja na nusu ni upuuzi grade A. Usituone sisi tunalewa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Nchi imechangamka, watu wanafunguka bila uoga. Hongera Rais Samia

    Kwa kweli tusipompongeza mama kwa utawala wake tutakuwa hatuna shukrani, tumeishi na utawala uliopita tukaona wafanyabiashara na matajiri walikua maadui, wakabinywa wakashindwa kufanya miradi ya maendeleo. Wakashindwa hata kujenga nyumba zao. Kwa Samia kuna uhuru na njia kibao za kupiga, akili...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Hivi kwa Nini wanamuonea sana huyu mama jamani I wish ningekuwa msemaji wa serikali ili kuonesha utofauti wa mama na jpm. Hivi jpm ni mkataba Gani ambao ameshawahi kuwashirikisha au kulishirikisha bunge? 1. Ujenzi wa Bomba la mafuta hoima mpaka Tanga, je mlishirikshwa au bunge lilipewa nakala...
  15. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jamii bila rushwa inawezekana

    Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zinawataka wafanyabiashara waweke oda za jezi mpya bila kuziona, huu ni uwendawazimu

    Sasa najiuliza unawezaje uagize jezi kibao bila haya kuziona zinafananaje? Hapa ni kama DP World tu na bandari yetu
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio orodha ya mashirika yanayostahili kubinafsishwa bila hata kuuliza ili tusonge mbele

    Wanabodi wa jamii forums, Yapo mashirika kadhaa ambayo yana stahili kubinafsishwa ili tuweze kuleta ufanisi wa utoaji huduma Tanzania. Haya mashirika ni wazi tungewakabidhi wageni Watanzania tungeishi maisha mazuri sana. 1. Mimi naanza na mashirika ya maji wakuu, maji kila siku yanakatika na...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kamati Kuhusu Azimio la Bunge Kuridhia Makubaliano Kati ya Tanzania na Dubai Kuhusu Ushirikiano wa Uendelezaji na Uboreshaji Bandari Tanzania

    MAONI YA KAMATI YA PAMOJA KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA SERIKALI YA DUBAI KUHUSU USHIRIKIANO WA KIUCHUMI NA KIJAMII KWA AJILI YA UENDELEZAJI NA UBORESHAJI WA UTENDAJI KAZI WA BANDARI TANZANIA LA MWAKA 2023 SEHEMU YA KWANZA...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…