Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,444
Karibu Afrika.

Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.

Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.

Traffic wakipiga tochi wanaona gari imesimama kumbe inatembea spidi 100.

Gereji kwa mwaka utakuwa unaenda mara moja kwa mwaka.

Noma sana
 
Back
Top Bottom