Unaibiwa kila siku bila kujua, umejichanganya

Apr 19, 2018
83
112
MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua?

WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’

MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu tu, bali limeoza na kulegea kabisa.

WEWE; ‘Kiaje?’

MIMI; Fikiria hili suala kwa mfumo huu;
Kila kitu unachokifanya kwenye maisha yako ni kama biashara(namaanisha mabadilishano), Kuna kitu unakitoa ili na wewe upatiwe kitu kingine.

Kagua vizuri maisha yetu yote, yaani lazima kuna kitu unakitoa ili upate kitu fulani. Kama siyo pesa, basi nguvu na muda, bila kusahau yale masuala yetu mengine yanayotugharimu maumivu ya moyo na presha………..Anyway; nafikiri utakuwa umenipata.

Ili uishi lazima utafanya mabadilishano kwa namna moja au nyingine.

Sasa basi; sote tunajua kwamba kwenye mabadilishano yoyote yale, Kitu adimu kina gharama kubwa kuliko kitu kinachoapatikana kwa urahisi. Nikienda dukani kununua chumvi, ninatoa jero napatiwa gramu 500 za chumvi. Vipi nikihitaji gramu 500 za dhahabu? Nitalipia jero? Utaambiwa hapana!, Ni lazima utoe mamilioni. Mamilioni tena? Mbona ni gramu zile zile 500, kama zile gramu za chumvi?

‘Dhahabu ni Adimu kuliko Chumvi’ ndiyo maana gramu 500 za dhahabu utatoa mamilioni, wakati gramu 500 za chumvi unatoa jero. Zingatia sana hilo neno ‘ADIMU’ lina maana kubwa sana.

SASAAA;
Kuna mahali umejichanganya, kwenye suala la MUDA.

Naweza nikaja sasa hivi nakakuuliza; ‘Baadae utakuwa na muda, twende sehemu fulani tukafanye kitu fulani?’ wewe kazi yako ni kuitikia; ‘Sawa, usijali tutaenda’.

Sitaki kukukosoa kwa kuwa na huo ‘UKARIMU’ wako!

Lakini swali langu ni moja tu; ‘Umekuwa MUNGU wewe, unaishi milele?’

Yaani hapa duniani una miaka inayohesabika, sasa kwa nini badala ya kuutumia muda wako kwa mahesabu na bajeti, unaugawa kama njugu? Simaanishi kwamba usiwasaidie wengine, usistarehe, na kufurahia na wenzako. Hoja yangu imekaa kwenye hili neno ‘MAHESABU’. Kwa sababu kitu chochote ADIMU chenye limit, lazima tukitumie kwa bajeti na Mahesabu.

Kama umri wa binadamu aliyeishi muda mrefu zaidi kwa sasa ni miaka 120 (Ni mfano tu). Wewe mwenzangu na mie ambaye tuko kwenye huu ulimwengu wa 3, Miaka yetu ya kuishi ni mingapi?.

UMEJICHANGANYA; Muda ndiyo kitu chenye thamani kubwa kuliko vitu vingine kwenye maisha yako. Na Muda wako wa kukaa hapa duniani ukiisha, hayo yote unayodhani yana umuhimu kwa sasa, hautaweza kuyafanya. Kwa hiyo rudi nyuma ufikirie vizuri na kujiuliza;
‘Hivi ninatoa muda wangu kubadilishana na hiki kitu, Kwani kitu chenyewe kina umuhimu na thamani gani kwenye maisha yangu? Maana nikitoa MUDA wangu ndo umeenda haurudi tena!’

Kuanzia sasa tambua kwamba;

MUDA wako wa kuishi una MIPAKA na uutumie kwa bajeti, wewe siyo MUNGU kwamba utaishi milele; maana umekazana kuugawa muda wako kama una ………………………………… Kila kitu ukiambiwa wewe umo;

‘Twende huku’-Upo

‘Twende kule’-Upo

‘Tukafanye hiki’-Upoooo

Naelewa, kwamba unafanya hivyo kwa sababu unawaheshimu na kuwapenda hao Ndugu, jamaa, Marafiki, Bosi au wafanyakazi wenzako.

LAKINI;
Duniani utaondoka peke yako, na wengi wa hao jamaa na rafiki wanaokupotezea muda, hawatakuwepo pamoja na wewe.

Niishie hapa kwa leo; Maana natamani hiyo kichwa yako ingekuwa inafunguka kwa spana nije niifungue, niijaze Maarifa sahihi. Lakini kwa sababu tumeumbwa hivi ngoja niwe mvumilivu, tutaendelea wakati ujao.
 
Vipi mtoto anayefia tumboni?

Muda wake wa kuishi ni upi?

Anayeweka mipaka ya mtu kuishi ni nani?

Unathibitisha vipi Mungu huyo anaishi milele?

Wewe muda wa kuandika huu uzi umepata kitu gani cha thamani sawa na muda uliotoa ?!
 
Hii kitu ni murua kabisa.

Fanya yote, ila fanya ukitambua kuwa mchango wako unatambulika.

Mfano unatumia miaka 10 kushiriki kuijenga CCM au CHADEMA.

Unakuwa kama Magu tu, unatumia muda unatoa athari kubwa inasikika kila kona ya dunia hata ukisepa. Unakuwa umeshiriki kuipeleka dunia kule ulikotaka iende hasa kwa kugusa maisha ya watu
 
MIMI; Hivi unajua unaibiwa sana kila siku, tena bila kujua?

WEWE; ‘Aaah wapi! Mimi ni mtoto wa mjini, siwezi kuibiwa kizembe, wewe unaongea tuu’

MIMI; Ni kweli wewe ni mtoto wa mjini, Lakini usisahau kwamba; ‘Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu’ Na inawezekana tundu ulilonasa wewe siyo bovu tu, bali limeoza na kulegea kabisa.

WEWE; ‘Kiaje?’

MIMI; Fikiria hili suala kwa mfumo huu;
Kila kitu unachokifanya kwenye maisha yako ni kama biashara(namaanisha mabadilishano), Kuna kitu unakitoa ili na wewe upatiwe kitu kingine.

Kagua vizuri maisha yetu yote, yaani lazima kuna kitu unakitoa ili upate kitu fulani. Kama siyo pesa, basi nguvu na muda, bila kusahau yale masuala yetu mengine yanayotugharimu maumivu ya moyo na presha………..Anyway; nafikiri utakuwa umenipata.

Ili uishi lazima utafanya mabadilishano kwa namna moja au nyingine.

Sasa basi; sote tunajua kwamba kwenye mabadilishano yoyote yale, Kitu adimu kina gharama kubwa kuliko kitu kinachoapatikana kwa urahisi. Nikienda dukani kununua chumvi, ninatoa jero napatiwa gramu 500 za chumvi. Vipi nikihitaji gramu 500 za dhahabu? Nitalipia jero? Utaambiwa hapana!, Ni lazima utoe mamilioni. Mamilioni tena? Mbona ni gramu zile zile 500, kama zile gramu za chumvi?

‘Dhahabu ni Adimu kuliko Chumvi’ ndiyo maana gramu 500 za dhahabu utatoa mamilioni, wakati gramu 500 za chumvi unatoa jero. Zingatia sana hilo neno ‘ADIMU’ lina maana kubwa sana.

SASAAA;
Kuna mahali umejichanganya, kwenye suala la MUDA.

Naweza nikaja sasa hivi nakakuuliza; ‘Baadae utakuwa na muda, twende sehemu fulani tukafanye kitu fulani?’ wewe kazi yako ni kuitikia; ‘Sawa, usijali tutaenda’.

Sitaki kukukosoa kwa kuwa na huo ‘UKARIMU’ wako!

Lakini swali langu ni moja tu; ‘Umekuwa MUNGU wewe, unaishi milele?’

Yaani hapa duniani una miaka inayohesabika, sasa kwa nini badala ya kuutumia muda wako kwa mahesabu na bajeti, unaugawa kama njugu? Simaanishi kwamba usiwasaidie wengine, usistarehe, na kufurahia na wenzako. Hoja yangu imekaa kwenye hili neno ‘MAHESABU’. Kwa sababu kitu chochote ADIMU chenye limit, lazima tukitumie kwa bajeti na Mahesabu.

Kama umri wa binadamu aliyeishi muda mrefu zaidi kwa sasa ni miaka 120 (Ni mfano tu). Wewe mwenzangu na mie ambaye tuko kwenye huu ulimwengu wa 3, Miaka yetu ya kuishi ni mingapi?.

UMEJICHANGANYA; Muda ndiyo kitu chenye thamani kubwa kuliko vitu vingine kwenye maisha yako. Na Muda wako wa kukaa hapa duniani ukiisha, hayo yote unayodhani yana umuhimu kwa sasa, hautaweza kuyafanya. Kwa hiyo rudi nyuma ufikirie vizuri na kujiuliza;
‘Hivi ninatoa muda wangu kubadilishana na hiki kitu, Kwani kitu chenyewe kina umuhimu na thamani gani kwenye maisha yangu? Maana nikitoa MUDA wangu ndo umeenda haurudi tena!’

Kuanzia sasa tambua kwamba;

MUDA wako wa kuishi una MIPAKA na uutumie kwa bajeti, wewe siyo MUNGU kwamba utaishi milele; maana umekazana kuugawa muda wako kama una ………………………………… Kila kitu ukiambiwa wewe umo;

‘Twende huku’-Upo

‘Twende kule’-Upo

‘Tukafanye hiki’-Upoooo

Naelewa, kwamba unafanya hivyo kwa sababu unawaheshimu na kuwapenda hao Ndugu, jamaa, Marafiki, Bosi au wafanyakazi wenzako.

LAKINI;
Duniani utaondoka peke yako, na wengi wa hao jamaa na rafiki wanaokupotezea muda, hawatakuwepo pamoja na wewe.

Niishie hapa kwa leo; Maana natamani hiyo kichwa yako ingekuwa inafunguka kwa spana nije niifungue, niijaze Maarifa sahihi. Lakini kwa sababu tumeumbwa hivi ngoja niwe mvumilivu, tutaendelea wakati ujao.
kuna haja serikali kuwekeza kwenye afya maana matatizo ya afya ya akli yanazid kushamiri
 
Muda ni nini?

Je kama nisipoutumia muda wangu kwa ajili ya wengine, ipi maana ya maisha?

Nisipoutumia huo muda kufanya kinachonipa furaha na amani ya maisha, ni ipi thamani ya hayo maisha?

Kwanza kuutumia muda vizuri ni kufanyeje?
 
Mkuu ili mtu ajue huu muda umeutumia vizuri autumie kufanya nini ? Ebu tueleze ? Kuna jamaa ananipaga ishue za pesa kanipigia simu tukutane hapo boardroom tukadondoshe hata jaga moja sasa nataka nijue kabla sijaenda. Maisha ni watu na kusikilizana, kama hau interact nao in one way or the other unaishije mkuu ? Mungu anasema tupendane na tusikilizane tutapendana vipi na tutasikilizana vip kama kila mtu ataona amebakiza muda mchache kufa so autumie muda vizuri ? Lakini autumie kufanya nini ili ionekane kwamba kautumia vizuri ? Nan kaset standards za kwamba ukiutumia muda hivi utakuwa umeutumia vizuri na hata ukija kufa itakuwa sawa tu ?

Mkuu naomba unijibu maswali yangu…
 
Niliwahi kutafakari hiki kitu
 
Back
Top Bottom