riwaya

  1. Azer Zepha

    Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  2. nergomafioso

    Seven days in hell! (siku saba kuzimu)-1

    SEVEN DAYS IN HELL (SIKU SABA KUZIMU) Episode-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea kunitoka lakini maumivu makali yalinirudisha chini. Kwa kutumia...
  3. Analogia Malenga

    Tuache blablaa! Uandishi wa habari siyo riwaya

    Ameandika Jesse Kwayu wa Media Brains JUMATATU Februari 26, 2024 yaani mwanzo wa wiki hii taifa lilishuhudia jambo kubwa la kihistoria la kufanyika kwa jaribio ya safari za treni ya umeme kwenye reli ya standard gauge (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ni tukio la kihistoria kwa maana...
  4. A

    Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    (image via itl.cat) MUUAJI MWENYE KOFIA NYEKUNDU SEHEMU 001 Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita kamili, John Otieno alikuwa akikatiza kwenye mtaa uliotulia maeneo ya Iwambi jijini Mbeya. Mtaa huu ulijaa nyumba za kifahari tupu, hakukuwa na kelele za muziki wala kelele za watu waliokuwa...
  5. Sonko Bibo

    Riwaya ya Kijasusi Mabaduni wa serikali

    Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. Karibuni nyote kwa wingi MABADUNI WA SERIKALI Utangulizi Kila serikali ya taifa lolote hapa ulimwenguni ni lazima iwe na kikosi cha watu maalumu kwa ajili ya...
  6. gstar

    Simulizi: Biashara haramu ilivyosababisha mauaji

    Bado sijapata Title maalum ya hii Simulizi twende nayo hivyo hivyo. UTANGULIZI Kuna jamii ya watu iliyozuka na kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii nyinginezo, watu wanaozisaka pesa kwa namna yeyote ile hata ikibidi kumkufuru mwenyezi Mungu, amini nakwambia si kila ukionacho kwa macho kuwa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
  8. gstar

    RIWAYA: Mzee wa Busara

    RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika. MWANZO NILIHISI kupagawa. Akili yangu ilikuwa mbali sana usiku huo. Sjiui mtanielewa nikisema kwamba nilikuwa kwenye ndoto katika...
  9. JIMWANGI

    Wapenzi Wa Riwaya za Hayati Ben R Mtobwa

    Nisomapo kazi ya Mtobwa mimi huguswa na jinsi mwandishi huyu alivyocheza na lugha. Naam, anaelezea tukio kwa lugha inayovutia. Lengo langu ni mtu aliyeguswa na kazi fulani atupie kitabu huku au ataipu sentensi chache zilizomfurahisha. Njia hii itawasaidia waandishi waboreshe uwezo wao wa...
  10. Kenii

    Riwaya: Kiza kinakutisha?

    UTANGULIZI Berlin, Ujerumani SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii waliokuwa wamefurika kwenye barabara ya Unter den Linden. Usikurupuke, alijiambia. Lazima uwe mtulivu. Ile meseji ya ghafla...
  11. McCollum

    RIWAYA: Hukumu Nzito

    SIMULIZI: HUKUMU NZITO GENRE: THRILLER MWANDISHI: YI BANG JI “Nataka tuimalize kazi kwa haraka,” aliongea Julius Fungo, huyu alikuwa kiongozi wa kikundi cha majambazi ambao walikuwa wakifanya matukio mazito ya uhalifu jijini Mbeya, kwa muda huu alikuwa akitweta na alikuwa analisogelea dirisha...
  12. Jemima Mrembo

    RIWAYA YA KUSISIMUA:- Vuta N'Kuvute - Shafi Adam Shafi

    Sura ya Kwanza Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo Mtendeni. Alikuwa ni mume asiyelingana naye hata kidogo. Si kwa umri wala tabia kwani wakati Yasmin ni kigoli wa miaka kukmi na tano tu, mumewe...
  13. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: Mwanzo baada ya Mwisho by M.Kitua

    HABARI WANA JF. SEHEMU YA 1 MWANZO BAADA YA MWISHO .... Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
  14. mBONEASenior

    Simulizi ya Vita: SHADOWS OF WATER (Maji Maji)

    CHAPTER 1 South Tanganyika, Early 1899 An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded our village made up of probably fewer than fifteen households living in straw houses with...
  15. SIMULIZI RIWAYA

    Simulizi: Sasha Mlinzi wa Nafsi - 1

    SASHA MLINZI WA NAFSI. Sehemu ya............1-2 Mtunzi: Saul David WhatsApp: 0756862047 UTANGULIZI... Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
  16. Zeal of God

    Je Ni Uzi/Riwaya Gani Yenye Mafunzo?

    Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
  17. Dotonho

    Riwaya: Mwanamke Kama Mama Yangu

    Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja. ======== RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO SIMU: 0713 48 28 16 FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO SEHEMU YA KWANZA (1) "Vuta picha...
  18. Abtali mwerevu

    Riwaya: Mzalendo Kizimbani (Mwalimu Makoba)

    Angalizo: Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania. Sehemu ya Kwanza Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali fulani, akakiachia nacho kikapaa peke yake. Pembeni alilala Komandoo Bwii, huyu alikuwa na kitu mfano...
Back
Top Bottom