biashara

  1. moshi norbert

    JamiiForums Tanzania Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
  2. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake. Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
  3. cadey

    JamiiForums Tanzania Mkoa huu wa Italia utakulipa $ 27K ya kuhamia huko, fungua biashara, uishi maisha yako mazuri

    Kanda ya Kusini ya Italia inatafuta kushawishi vijana au wanandoa walio na watoto wadogo, kwa matarajio ya kupunguza kupungua kwa idadi ya watu, lakini wapo wazi kwa mtu yeyote anayetaka kubadilisha mazingira na kuishi kwenye miji midogo anakaribishwa kwenda kuishi kwenye miji hiyo. Ili kuweza...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

    Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume. Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo. Kama unaweza, unaweza kuweka...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Kuanzisha Biashara

    Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako? KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa biashara yako.Huduma zinazotolewa ni pamoja na: Usajili wa Jina...
  8. Albert Einstein

    JamiiForums Tanzania Zitto anafahamika kwa biashara ya siasa

    Wasalaam Na Galila Wabanh'u Nimesoma makala ya Mhe Zitto Zubeir Kabwe mbunge wa Kigoma mjini akipotosha juu ya mradi wa bandari ya Bagamoyo kama moja ya mradi unaopaswa kutekelezwa katika eneo hilo pamoja na ujenzi wa reli yetu ya kisasa ya SGR. Kwa wasiofahamu Ndugu Zitto anajulikana kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Ushauri, Maoni, nini nifanye baada ya kama miaka 10 ya chuo

    Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli. Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism. Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana...
  10. Aerma

    JamiiForums Tanzania Biashara

    Laptop model: Lenovo Ideapad 330 Ram: 4 gb Hard driver: 500 gb System Type:64-bt Operating System,64-based processor Price:550000/= tsh
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania The happiest King in the world

    King Mswati III (51) wa eSwatini amenunua magari 19 na amewazawadia wake zake (zaidi ya 14) magari hayo mapya ya kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom. Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi, huku baadhi ya wananchi wakikosa baadhi ya huduma za msingu. Mwaka...
  12. deni

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi: Nianzie wapi kwenye biashara?

    Habari zenu wana jamvi, Nimeacha ajira kwa hasira. Nimefanya maamuzi ya kipuuzi? sijui! Ngoja nianzie mbali kidogo kuwasimulia: Nilihitimu Shahada yangu ya Uhandisi mwaka jana na baada ya kukaa mtaani kwa miezi mitatu tu nilifanikiwa kupata ajira. Nilipata ajira kama fundi mchundo (Technician)...
  13. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu ambao utatoa mawazo mbalimbali ya jinsi ya kutoka kimaisha ukiwa na mtaji huo. Aidha, tunashauri...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kozi nzuri za biashara

    Wadau, Kwanza pole na kazi. Naombeni ushauri. Nataka nijiendeleze kimasomo kwa sasa nina Bachelor of Arts in Economics. Nichukue Masters ipi ambayo itaendana na kasi ya ajira kwa sasa? Nahisi kutaka kubadili kozi au kusoma diploma as an added advantage. Naomben ushauri.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

    Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph aka Musukuma amesema atapeleka hoja binafsi Bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara. Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwa kufanya biashara ya kubadili fedha bila leseni

    Polisi Mkoani Mbeya inawashikilia watu 14 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya kubadilisha fedha za kigeni bila kuwa na leseni kutoka Benki Kuu (BoT) kwenye mpaka wa Tanzania na Malawi, Kasumulu Wilayani Kyela Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Eurich Matei, amesema watuhumiwa hao walikamatwa jana...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    LICHA ya serikali kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini, Ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imetaja vikwazo 12 vya ufanyaji biashara nchini. Katika ripoti hiyo ya mwaka 2019/20 imeonyesha kuwa Tanzania imeboresha baadhi ya mambo kiasi ya kuifanya kushika nafasi ya 141 kati ya 190 mwaka huu...
  18. maroon7

    JamiiForums Tanzania Biashara ya branding na marketing agency

    Wakuu napenda wenye kuijua hii biashara ya branding na marketing agency/promotions. Tupeane ujuzi maana ni biashara ninayotaka kuifanya maana makampuni mengi yana outsource marketing/ promotion ya bidhaa zao au uzinduzi wa chupa mpya na ukipata makampuni makubwa unavuta pesa ndefu. Tupeane...
  19. Mbu

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Wajameni eeh, Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10,000,000/=) za Kitanzania. Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i.e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake). =======
  20. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kitabu: Biashara ndani ya ajira, toleo la pili, Oktoba 2019

    Rafiki yangu mpendwa, Mwezi Oktoba mwaka 2016 nilitoa toleo la kwanza la kitabu cha BIASHARA NDANI YA AJIRA. Kitabu ambacho kilikuwa na maarifa na mwongozo sahihi kwa yeyote anayetaka kuingia kwenye biashara lakini kazi inakuwa kikwazo kwao. Nilitoa kitabu hiki baada ya kujifunza kwa wengi...
Back
Top Bottom