biashara

  1. Hassan samaras

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madini ya dhahabu

    Hello natumai wote ni wazima kabisa na wa afya iliyo bora kabisa, Jamani mimi nataka nijue haswa biashara ya madini ya dhahabu ni shilingi ngapi kwa gram1? Na je ukiwa na 3million unaweza kuianza.
  2. konabar

    JamiiForums Tanzania Natafuta partner tufanye biashara ya zao la ufuta

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalo jishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. Kipindi hiki nikipindi ambacho ufuta unavunwa kwa hiyo wakulima wanauza ufuta kwa watu wenye mitaji kwa tsh 2000/= kwa kilo Na serikali inatarajia...
  3. JacobMushi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jacob Mushi

    Jacob Mushi ni Mwandishi (Author), Kocha wa Mafanikio(Success Coach), na Mjasiriamali. Kiu yake kubwa ni kuona wewe unakuwa mtu bora, unatimiza ndoto zako na unaishi Maisha ya mafanikio. Kwa kupitia Kazi Zake Maisha ya wengi yamekuwa bora na kufanikiwa. Kwa kupitia kazi yake ya Uandishi pekee...
  4. D

    JamiiForums Tanzania MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  5. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  6. kanyagio

    JamiiForums Tanzania Kiwanja pembezoni mwa barabara cha biashara

    Wapendwa, Kinahitajika kiwanja kinacho face barabara ya lami hapa Dar es salaam. Ukubwa ni wowote Ila ni vema kuwe na mpaka unaojulikana wa barabara ili kuepuka kubomolewa. Bajeti iliyopo ni 20m.
  7. Mawio

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI ENGINE YA LANDROVER 110 - 300 SERIES MILIONI 1.5 CASH MEZANI

    Wakuu, salaam!!!.. Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series. Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790 Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=) Shukrani.
  8. BabaDesi

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya asali kutoka Tabora kuleta Dar es Salaam

    Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za lita ishirini ishirini za Asali mbichi ambapo nimeambiwa bei ya dumu la lita 5 ni kati ya shs Alfu 45...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza katika viwanda ni kumuenzi Baba wa taifa-Samia

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa watanzania kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Nyerere kwa kuwekeza katika viwanda kuwezesha taifa kurudi katika uchumi wa kutegemea uzalishaji unaotokana na bidhaa za viwandani. Samia ametoa ushauri huo katika uzinduzi wa wiki...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua nguruwe toka Morogoro kupeleka Dar-es-Salaam

    Habari wana jamii nina mtaji wa m2 nataka kufanya ununuzi wa nguruwe toka Moro to Dar kuchinja kwa ajiri ya biashara vp ushauri, hapo italipa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana ni wakati wa kupiga pesa kwenye biashara ya mpunga

    Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo. Biashara ya mchele ni biashara ya nzuri na hasara zake ni ndogo kutokana na ukweli kwamba huvunwa nchini kwa muda...
  12. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

    Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu nilishalipa yaani sikuwa na deni. Basi baada ya kuona niko safi wakaanza kuniuliza maswali ya...
  13. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Njia 6 za kutengeneza pesa kwenye biashara kupitia mitandao ya kijamii

    Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi. Hukufikiria kuhusu kutengeneza pesa, ulichokiona ni kwamba utakapokuwa na uhitaji wa kuwasiliana na washikaji, basi uwasiliane nao...
  14. Babu wa Kambo

    JamiiForums Tanzania USHAURI; Wakati Sahihi Na Wakati Mbaya Wa Kuchukua Mkopo Wa Biashara Benki

    Habari za leo mpenzi mwanaJUKWAA, naamini unaendelea vizuri na harakati zako za kuboresha maisha yako kila siku. Kumbuka mafanikio hayatokei mara moja tu, ila yanajengwa kwa tabia ndogondogo unazorudia kufanya kila siku. Katika safari hii ya mafanikio, kuna vikwazo vingi sana ambavyo...
  15. Afyayaakili

    JamiiForums Tanzania Syndicate ya drug delears Tanzania-South Africa

    Pushing heroin through South Africa: The telephone line distorts. “We need to hurry up man, seriously dog,” says Mark*, the American voice on the one end of the line. “If these people leave, somebody owes me money, dude, because I am not carrying that shit.” “Okay, there is no problem...
  16. Second Lieutenant

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Habari za Mchana wana JF, Ndugu yenu hapa naomba info kuhusu biashara ya Nyama (Burchery), Bei wanazonunua Machinjioni inakuwa kiasi gani? wangapi wamefanikiwa through this business. WADAU WENGINE NAOHITAJI MUONGOZO WA BIASHARA HII MICHANGO NA MIONGOZO
  17. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Kurithisha biashara za familia / family business succession

    KURITHISHA BIASHARA/FAMILIY BUSINESS Famiily business imetapakaa sehemu nyingi sana dunianikuanzia Marekani, Ulaya, Asia na Africa, na kampuni nyingi sana kubwa dunani nyingi ni za familia zinamilikiwa na familia pamoja na kwamba zinakuwa na watuwengine nje ya familia Hapa chini ni moja ya...
  18. mpushi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Salam Wakuu, Ninapenda kujua ni mtaji kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara ya kutengeneza na kuuza icecream. Mchanganuo huo uhusishe gharama za kununua mashine ya utengenezaji, mashine ya kuhifadhia pamoja na mali ghafi. Asante kwa msaada. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUFAHAMU BIASHARA...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara. naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake. WADAU WANAOHITAJI MUONGOZO KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU NA MICHANGO YA WADAU
  20. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Hellow wanaJF, Nina wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku-pack kwa ajili ya kuuza. Jamani naombeni mawazo yenu. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Back
Top Bottom