Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua.
Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue Senene wazuri pure wa sasa hivi,napatikana Kagera.
Karibu sana.