biashara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtu marketing kwa ajili ya biashara ya utalii anahitajika

    tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box , tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
  2. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Anzisha Biashara yako inayosimamiwa au kuwa Managed Digital Ventures

    Angalizo! Huu ni mfumo mpya kabisa wa uanzisha na uendeshaji wa biashara na uko katika majaribio.Ukishiriki katika mfumo huu basi fahamu kwamba utakuwa katika majaribio.Hata hivyo mfumo huu umewekwa katika mazingira ya kuhakikisha kwamba mjasiriamali hapati hasara au kuchukua hadhari isiyo ya...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  4. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Usipende kutoa siri za biashara yako kwa watu wasio wateja wako

    Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo muwe mnanisamehe tu. Leo bana kuna ishu moja nataka kuongea na wafanyabiashara/wajasiriamali sio...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

    1. Efatha 2.Covenant Bank, 3. KILIMANJARO COMMUNITY BANK 4. Njombe Community Bank, 5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and 6. Meru Community Bank 7. Federal Bank of the Middle East 8. Tanzania Investment Bank (TIB) 9. China Commercial Bank Limited 10. Bank M 11. Twiga Bank 12. Mbinga Community...
  6. Hazard CFC

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
  7. cpb

    JamiiForums Tanzania Natafuta asali kwa mtu ambaye anauza

    Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara Asali nyuki wakubwa kwa wadogo awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto. Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara nahitaji kiasi...
  8. Moshi wa Kumbi

    JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda

    Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine. Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na kuweza kibana vizur kwa machine hiyo. Swali langu liko hapa je inawezekana kuhifadhi matunda kwa njia...
  9. OllaChuga Oc

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nyama choma

    Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi kimoja na nimeona ni deal na vitu hivyo vya kula kula maana mimi mwenyewe nakimbiza (nakula) japo...
  10. MzungukoMnangani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na usafirishaji, soko lake na mtaji wa kuanzia na yote yanayohusu biashara hii. Natanguliza shukrani...
  11. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Mahitaji kuhusu biashara ya kuchomelea (welding)

    Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua gharama ya vifaaa vinavyohitajika, Aina ya vifaa na Bei zake Ubora wa Kifaaa na Madhaifu ya vifaa husika Makadirio kwa vifaa vyote mpaka fundi anaanza kuchomelea Geti...
  12. King Kong III

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana ukifanya biashara na mtu aliyeficha Last seen na Read Receipts kwenye WhatsApp

    Umuofia Kwenu wana JF, Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
  13. FedhaBook

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  14. Point of Sales

    JamiiForums Tanzania A-Z: Wazo langu la biashara lililokamilika kwa kila kitu linalohitaji Mtaji

    Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
  15. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara inakaribia kufilisika, pesa ya biashara inatumika zaidi kwenye mambo binafsi

    Ipo hivi wakuu, kuna biashara ya rafiki yangu ambayo ni ya familia ambayo ilikuwa inaenda vizuri tu inaingiza milioni 8 kila mwezi na ndiyo inayolisha familia Sasa ile ni biashara ya familia na mkurugenzi ni baba yao, Pesa ikaanza kuchotwa dukani ili mzee afanyie mambo yake kwenye kesi ya...
  17. muneera75

    JamiiForums Tanzania Unatakiwa uwe na kiasi gani cha mtaji uweze kufuata bidhaa Uganda?

    Habari, Kwa sisi wenye ndoto za kujiajiri kila kukicha tunafikilia nini cha kufanya ili kujikwamua. Unatakiwa uwe na kiasi cha shillingi ngapi ili kuchukua bidhaa either nguo au viatu au mikoba nchini Uganda? (Ya mtumba) Au ni nchi gani za East Africa kuna unafuu wa kufuata bidhaa na ukapata...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

    Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania. 1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani 2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha 3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara 4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na...
  19. GLOBAL CITIZEN

    JamiiForums Tanzania Biashara hizi 15 zitakutoa 2021

    Wakuu, ngoja nianze kutiririka bila kupoteza muda. 1 • Digital marketing agency. There so much money to be made in this area. Kwa ufupi ni business itakayofanya vizuri kwa miaka nyingi sana sana kwasababu siku zote wamiliki wa biashara wanatafuta watu waliobobea kuwasaidia kupata wateja wa...
  20. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kufungua biashara mara tu baada ya kupiga kura Oktoba 28? Utaratibu kabla ya kutangazwa matokeo ni upi?

    Habarini NDUGU ZANGU, Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
Back
Top Bottom