Lita 10 shilingi ngapi?Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua.
Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue Senene wazuri pure wa sasa hivi,napatikana Kagera.
Karibu sana.
Lita 10 shilingi ngapi?
Inategemea wataka kias gani! KaribSh ngapi sasa? tangazo linahang
Kwahiyo wewe hauna vipimo maalumu na bei zake , si waweza sema labda nusu kilo ni 3000, kilo 5000/= hiyo kutegemea ndyo niniiInategemea wataka kias gani! Karib
Ninauza kwa jumla, mm ninakamata hao senene. Kwaiyo, nauza kwa ndoo ndogo/kubwa, diaba moja na kuendelea. Pole kwa kutokuliweka wazi mkuu. Karibu Sana.Kwahiyo wewe hauna vipimo maalumu na bei zake , si waweza sema labda nusu kilo ni 3000, kilo 5000/= hiyo kutegemea ndyo ninii![]()
,nahitaji robo kilo sh ngapii?