biashara

  1. Influenza

    Ludewa, Njombe: RC asema wasiolima mazao ya biashara kuwekwa rumande

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsere ametangaza kumuweka lumande “Lock up” mwananchi yeyote atakayeshidwa kuwa na zao la biashara kutokana na uhamasishaji mkubwa unaoendelea wilayani humo ili kukuza uchumi wa wilaya na wananchi wa wilaya hiyo. Mkuu wa wilaya hiyo amesema uamuzi...
  2. R

    Biashara ya Senene

    Hello ndugu, nawatafuta wafanyabiashara kutoka mikoa mbalimbali hapa Tanzania wanaonunua Senene kwa ajili ya biashara kutoka Bukoba, Kagera wanaolangua. Tafadhali tuwasiliane, tukutane uchukue Senene wazuri pure wa sasa hivi,napatikana Kagera. Karibu sana.
  3. The Assassin

    KPMG Consulting Limited inafunga biashara yake Tanzania?

    Nimeona tangazo kua kampuni ya ukaguzi na ushauri ya KPMG consulting company limited kua inafunga biashara(wind up) Je hii taarifa ni ya kweli?
  4. Sky Eclat

    Kodi ya biashara iko vipi Tanzania

    Nimefanya biashara ya vitenge kutoka Holland. Nilishirikiana na wenzangu mzigo ulishukia Ghana. Kwakuwa nilikuwa ninaanza, wateja walikuwa wananifuata nyumbani. Nimewasiliana na kiwandani watakuwa wananitumia mzigo bandari ya Dar. Mzigo ni mkubwa, ni mpango wa kufungua duka la wholesale...
  5. beth

    Njia rahisi ya kupata mtaji

    Changamoto kubwa ya watu wengi katika kuanzisha biashara ni mtaji. Kuanza biashara kuna mambo mengi sana, kuna kufanikiwa na kushindwa hivyo kuchukua mkopo banki wakati ndio unaanza biashara sio busara hii ni kwa sababu unashauriwa kuwa kabla haujaweka fedha zako kwenye biashara yeyote ile ni...
  6. jomasi0002

    Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  7. Suley2019

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia Kongo zafikia makubaliano ya kuboresha miundombinu baina ya nchi zao ili kurahisisha biashara

    Uganda na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo zimesaini mkataba wa kufanya maboresho ya miundombinu hasa barabara zinazounganisha nchi hizo mbili katika kipindi cha ndani ya miezi 24 kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji ndani ya nchi hizo mbili. Rais wa Uganda Mh. Yoweri Museven na Rais wa...
  8. Kilahunja

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika. --------------------------------------------------------------------------------------------------------...
  9. Sky Eclat

    Biashara ya nyumba ya wageni yenye kifungua kinywa

    Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho. Hata shughuli za utalii zinaleta fursa kwa nyumba za wageni hasa kwa wale low budget tourist. Siku hizi Waafrika wanapenda...
  10. moshi norbert

    Natafuta kazi inayohusisha upishi

    Kwa yoyote ambaye angependa kuinvest au kuamua kufanya bishara nje na kazi anayofanya, biashara ya chakula iko poa. Mimi nipo tayari tufanye kazi pamoja.
  11. moshi norbert

    Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

    Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
  12. CONTROLA

    Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Siku hizi watu wengi sana kinachowakwamisha sio kwamba hawana mitaji, wengi mitaji wanayo ila shida ni 1 tu inakuja kwenye suala la fremu wapi atapata pesa ya pango la chumba cha yeye kufanya biashara yake. Fremu tunajua kila mtu bei zake zilivyo na kadri frem inavyokua sehemu yenye wateja ndio...
  13. cadey

    Mkoa huu wa Italia utakulipa $ 27K ya kuhamia huko, fungua biashara, uishi maisha yako mazuri

    Kanda ya Kusini ya Italia inatafuta kushawishi vijana au wanandoa walio na watoto wadogo, kwa matarajio ya kupunguza kupungua kwa idadi ya watu, lakini wapo wazi kwa mtu yeyote anayetaka kubadilisha mazingira na kuishi kwenye miji midogo anakaribishwa kwenda kuishi kwenye miji hiyo. Ili kuweza...
  14. mirindimo

    Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

    Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet. Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
  15. Sky Eclat

    Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

    Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume. Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo. Kama unaweza, unaweza kuweka...
  16. D

    Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Habari, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa biashara ya Spea za Magari madogo ya kutembelea hasa Toyota (IST, Raum, Spacio, Carina, GX 100 n.k) anisaidie mambo muhimu ya kuzingatia kwa ninaetaka kuanzisha biashara hii. Mfano aina ya spea zinazotakiwa kwa sana, muuzaji...
  17. Masokotz

    Huduma ya Kuanzisha Biashara

    Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako? KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa biashara yako.Huduma zinazotolewa ni pamoja na: Usajili wa Jina...
  18. Albert Einstein

    Zitto anafahamika kwa biashara ya siasa

    Wasalaam Na Galila Wabanh'u Nimesoma makala ya Mhe Zitto Zubeir Kabwe mbunge wa Kigoma mjini akipotosha juu ya mradi wa bandari ya Bagamoyo kama moja ya mradi unaopaswa kutekelezwa katika eneo hilo pamoja na ujenzi wa reli yetu ya kisasa ya SGR. Kwa wasiofahamu Ndugu Zitto anajulikana kwa...
  19. M

    Msaada Ushauri, Maoni, nini nifanye baada ya kama miaka 10 ya chuo

    Mimi ni mwenyeji humu niwe mkweli. Course niliyosoma ni Antholopology and Tourism. Nilibahatika kuanya kazi kampuni moja ya wachina kama customer services department ya sale and marketing kwa miaka mitano(5), Hii nafasi niliitendea haki nilifanya kwa ustadi mkubwa bonasi za wiki nilipata sana...
  20. Aerma

    Biashara

    Laptop model: Lenovo Ideapad 330 Ram: 4 gb Hard driver: 500 gb System Type:64-bt Operating System,64-based processor Price:550000/= tsh
Back
Top Bottom