biashara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  2. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  3. AFRICAN BOYI

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
  4. AfricaUnited

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
  5. Janja PORI

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya TRA aliyoleta Rais Magufuli hata aondoke leo yatadumu milele

    Kwanza kabisa nianze na swali, Kwa kasi hii ya mabadiliko katika mifumo mbali mbali hasa TRA, BRELA, BOT je kipindi cha nyuma tulikuwa hatuna watanzania wenye akili ? ama watu waliamua kuwa vipofu. Kama msomi na mchumi katika vitu ambavyo amefanya Raisi Magufuli ambavyo sitasahau ni 1...
  6. Premij canoon

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

    Salaam wanajukwaa, Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SUMATRA simamieni bei za Uber, bolt, ping na biashara za usafiri mtandaoni

    Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
  8. J boaz

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nimechoka kusoma nataka kumiliki biashara yangu

    Mimi ni mwanafunzi ambae namalizia elimu yangu ya biashara CBE ila kwa sasa siitaji tena kuendelea na masomo naitaji kuanzish biashara yangu binafsi na biashala ninayo taka kufanya ni biashara ya kuuza nguo za mtumba za kike japo sio mala ya kwanza kufanya hii biashara ila kwa sasa nataka...
  9. mbongowakweli

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

    Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa Milioni 3. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k. KARIBUNI.
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Samatta atokea front page ya Daily Mail Sports, gazeti linaloheshimika Uingereza

    Mzuqa, Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake. Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia...
  11. winnerian

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu juu ya Ulipaji wa Kodi zote stahiki za Kampuni baada tu ya kukamilisha Usajili na kuanza biashara

    Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka. Naomba kwa wale wenye uelewa na hii elimu watupe katika mtiririko mzuri.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Biashara katika Jiji la Copenhagen na miji ya jirani

    Habari za leo waungwana. Naomba kuuliza, mtu akiwa na mtaji wa DKK 150,000 anaweza kufanya biashara gani katika jiji la Copenhagen au katika miji ya pembeni katika nchi ya Denmark? Asante
  13. mayowela

    JamiiForums Tanzania Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu?

    Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu? Hiki kitu nimekiona muda na huwa najiuliza kama ni soko huru kila mtu anafanya awezavyo ilimradi kodi iende kwa wahusika. Kumekuwa na muingiliano wa kibiashara kwa makampuni makubwa, mwanzo kulikuwa na malalamiko ila Regulators hawakutaka...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, tunaweza kujenga Tanzania ya viwanda bila kutegemea mabeberu? Ukaribu beberu na 'next door' ni fimbo au biashara tu?

    Wanabodi, Wanabodi, Ijumaa ya leo nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, leo nikiulizia kuhusu msimamo wa rais Magufuli kutosafiri nje hata kwa zile safari zenye maslahi makubwa kwa taifa, jee msimamo huo una Maslahi kwa Taifa? Bandiko hili ni la swali moja...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye vibanda vya biashara katika miji mbalimbali hapa nchini

    Kumekuwa na matukio ya kusikitisha ya kuungua kwa vibanda katika maeneo mbalimbali hapa nchini na kupelekea wamiliki kupata hasara kubwa na kuwaingiza katika umaskini mkubwa. Binafsi nina ushauri kwa Serikali kama mamlaka na wenye vibanda husika. (1) Serikali ihakikishe kuwa ni sharti kila...
  16. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Strategic Planning katika Biashara

    Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na mikakati ya namna ambavyo unataka kufikia malengo hayo. Katika kuandaa malengo hayo unapaswa...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ufadhili wa wazo la biashara

    NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi. Nahitaji mtu binafsi...
  18. kofia ya plastiki

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani nzuri kufanya maeneo ya shule ya msingi?

    Kwa mwenye uelewa wa biashara ambazo zinafanya vizuri maeneo ya shule ya msingi naomba anifahamishe ni aina gani au bidhaa gani nzuri asante
  19. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa kuzuia biashara ya ngono basi iwatoze kodi wadada poa

    Nilipita kipenyo kimoja Sudan Temeke niliona mabinti wameweka mapaja nje wanatangaza biashara saa nne asubuhi. Nilijua ni hostel za wanafunzi kwa harakaharaka. Ila nilipounganisha nukta nikakumbuka na kufahamu kuwa wako pale kibiashara. Serikali yenye vyombo vya ulinzi na usalama zaidi ya...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Moto wateketeza vibanda vya biashara zaidi ya 30

    Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku katika eneo la Makoroboi jirani na msikiti wa Wahindi jijini Mwanza. Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme na...
Back
Top Bottom