Najaribu kubuni biashara ya kusupply matunda ofisini wakati wa lunch

moshi norbert

Member
Nov 12, 2019
13
9
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
 
Ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia
 
ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia
Ulimaanisha ku-supply nadhani boss.

All the best.
 
Sik wakati wa lunch , kbla ya lunch mkuu , unapita kabla ya lunch ili uwahi wale wa vyakula ... Ukienda muda wa lunch tayari wengine washatoa oda ya chakula
 
Pita ofisi Mbali mbali wajulishe biashara yake hasa wakati wa Lunch. Piga Joho lako Jeupe na zile kofia za wapishi watu wakuone msafi kweli kweli utapata biashara.

Watu humu hawawezi kukwambia eti niko nafanya TRA pale longroom niletee matunda.
 
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
ninachomaanisha n kua nataka nipate taratibu za ofisi tofauti tofauti maana uwezi peleka matunda ofisini kama unapeleka saiti ofisi huwa zina talatibu zake naisi n lazima ufwate taratibu ili uweze pata ruhusa ya kuwa unaingia
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO VERY SOON MKUU.
 
Back
Top Bottom