biashara

  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu changa. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwapata, kuwatumia na kuwalipa vijana wa kusambaza bidhaa

    Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake. Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
  2. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  3. Shobi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  4. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  5. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

    Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  7. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Shituka haraka sana unapoona biashara yako imekuwa yebo yebo

    Nawambiaga watu hamna biashara isiyo na faida chini ya JUA yani hakuna,ukiona umefungua biashara halafu wewe huoni faida tambua 1.umekosea location 2.unafungua kitu kile kile ambacho watu wanacho tayari. tukiachana na yote hayo bado biashara inataka uvumilivu 81% unaweza ukakosea location ila...
  8. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vyombo vya Habari inadorora na kufa kutokana na upendeleo wa habari

    Biashara ya vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni kwa sasa ina yumba kutokana na uendeshaji wa Vyombo hivyo ambao una walazimisha wamiliki kutoa au kuegemea upande mmoja wakati huko wanako egemea hakuna ruzuku wanayo pata ili kuendesha vyombo hivyo. Kwa sasa kundi kubwa la...
  9. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuumiza kichwa katika biashara yako/zako?

    Kila mfanyabiashara/mjasiriamali anapoamka asubuhi akashuka kitandani akasimama juu akajinyoosha akagundua yupo fiti kiafya Humshukuru Mungu sana kwasababu sisi wafanyabiashara pamoja na uzoefu wetu ktk biashara,pamoja na mitaji mizuri tuliyonayo lakini BILA afya njema yote hayo = 0. kusema...
  10. Thesmartphone class

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutangaza biashara yako na Facebook ads kupitia app ya simu yako

    Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support. Napatika kwa WhatsApp no-...
  11. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania September AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
  12. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Biashara kwenye TV Tanzania

    Nimeona kama vile makampuni ya kutengeza matangazo ya TV bado hayajapata wataalamu wazuri. Matangazo mengi ya biashara kwenye TV huwa ya kupayuka sana tena kwa sauti za juu sana inabidi mtu upunguze volume. Je, wenzangu mnayaonaje; je yanafikisha ujumbe kweli au yanahitajui kuboreshiwa ziaidi?
  13. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

    Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop ya kisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi. Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukweli tunaotakiwa kujua kuhusu mazao ya biashara: Kila zao lilikuwa na enzi zake

    Haya mazao ya kilimo ya biashara bei zake kwenye soko la dunia hupangwa na hao wakubwa (mabepari) wa dunia. Bei hizi hazipangwi na watanzania. Ukweli ni kuwa haya mazao kila moja lilikuwa na enzi zake kwenye kinara. Kulikuwa na enzi ambayo zao la mkonge lilikuwa ni lulu kwa kutupatia fedha za...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Moto wateketeza mabanda ya biashara Mwenge TRA

    Moto mkubwa umewaka nyuma ya TRA Mwenge na kuteketeza kabisa vifaa na mali mbambali ziloOkuwemo kwenye vibanda vya biashara. Kitu kilichonisikitisha ni simu za zimamoto kutokupokelewa haraka kama inavyotakiwa. Hata walipopatikana walichelewa kufika eneo la tukio mpaka wananchi wakaamua kujitosa...
  16. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Wadau wenye uzoefu na biashara ya mafuta ya alizeti kutoka Singida nijuzeni kuhusu hii biashara

    "Hbr zenu ndugu zangu, naombeni wenye uzoefu au utafit juu ya mafuta alizeti ya rejareja hii biashara inakaaje,, Asante u" (UJUMBE TOKA KWA DADA CHOLETA) Wapendwa wenye taaarifa kuhusu hii biashara naomba mumsaidie dada yangu huyu Dada Choleta maana najua hapo alipo anatamani sana kupata...
  17. kipusy

    JamiiForums Tanzania Biashara ya video production katika Harusi, Kitchen party, Send-off nk

    Naomba kuuliza wanaofanya/waliowahi kufanya hii biashara Camera gani nzuri kufanyia video na photo shooting? Camera ziwe ngapi katika usiku wa shughuli kwa ufanisi zaidi? Wanaepukaje changamoto ya kuishiwa battery charge? Kwa tanzania hususan Mbeya, huwa wanalipwa kiasi gani kwa hii shughuli...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mafuta ya Total Tanzania yampongeza Rais Magufuli na kuipongeza Tanzania, kujenga mazingira bora ya biashara ya Mafuta, Uwekezaji

    Wanabodi, Kampuni ya Mafuta ya Total, imempongeza Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na serikali yake ya awamu ya tano, kwa kujenga mazingira wezeshi ya biashara, na uwekezaji, yanayovutia wawekezaji wa kimataifa kuleta mitaji ya uwekezaji nchini na kuwawezesha Watanzania kupatiwa fursa za...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mgambo wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili acheni kufanya biashara ya barakoa (mask)

    Hivi ni kwa nini mnafanya mradi wa kitoto namna hiyo, mnawazuia raia kupita kwenye geti kama hawajavaa barakoa (hata staff ambao wanapewa na mwajiri wao nyie mnalazimisha wanunue wavae wakati wana elimu ya barakoa kuliko ninyi), na huko nje mmewaweka jamaa zenu ambao hata kutunza (kuhifadhi)...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tujifunze namna ya kujiajiri pamoja na kumiliki kampuni au biashara

    Closed
Back
Top Bottom