maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,143
Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine?
Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao na wala hawazivai.
Kwanini iwe sandals tu au sababu wanapenda fimbo na sandals zinachomekwa kwenye fimbo? Niliwahi muuliza mmoja akaniuliza nanunua au sinunui?
Nikajua hali ya hewa itachafuka. Hebu wenye kujua tufahamishane labda wanamikataba na makampuni ya ngozi na wao ndio wenye ng'ombe.