Biashara ya A4 copy paper kutoka nje. Nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie

nenegete

Member
Feb 27, 2013
20
45
Habari wana jamvi!

Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa.

Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya paper ni nzuri, bei nk nitashukuru sana kama mtanisaidia kunipa hizo taarifa.
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,227
2,000
Ndioo biashara gani hiyo yani ikoje?

Naomba elimu kidogo kuhusu hilo..
 
CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
5,227
2,000
Hivi mpaka mtu unapata wazo la biashara inakuaje hujui taarifa kama hizo za mtoa mada?

ulisikia wapi hiyo biashara? nani alikua anaifanya? nini kilikushawishi kuifanya? nadhani mpk

mtu unapata wazo la biashara ni lazima umeona/umesikia/umejiridhisha na taarifa flani khs

hiyo biashara ndio mwisho unaamua kuifanya,ila huwa nashangaa sana mtu anaetaka kufanya

biashara flani halafu hana na hajui hata A B C za biashara anayoitaka,mwisho atafeli tu na hyo biashara.
 
kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
1,488

Mkuu upo?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,014
2,000
Habari wana jamvi!

Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa.

Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya paper ni nzuri, bei nk nitashukuru sana kama mtanisaidia kunipa hizo taarifa
Kuna rafiki yangu miaka 7 hivi iliopita alikuwa na idea kama yako. Yeye alileta containers 7! Nilikuwa nae bega kwa bega. Aliangukia pua! Ilikuwaje?
Karatasi ni kama biashara ya mafuta au sukari. Ina Wahindi wameishika ukiingia mtu mpya wakihisi unaweza kuwa tishio wanauwezo wa ku flood market bei ikashuka kuliko ulivyonunua ndio kilimtokea jamaa yangu. Miaka mingi imepita sijui sasa hivi hali ikoje.
 
Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
13,789

Duh,aisee

JESUS IS LORD
 
Travis 1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
522
1,000
Hivi mpaka mtu unapata wazo la biashara inakuaje hujui taarifa kama hizo za mtoa mada?

ulisikia wapi hiyo biashara? nani alikua anaifanya? nini kilikushawishi kuifanya? nadhani mpk

mtu unapata wazo la biashara ni lazima umeona/umesikia/umejiridhisha na taarifa flani khs

hiyo biashara ndio mwisho unaamua kuifanya,ila huwa nashangaa sana mtu anaetaka kufanya

biashara flani halafu hana na hajui hata A B C za biashara anayoitaka,mwisho atafeli tu na hyo biashara.
Aliko Dangote alishawahi kushauri kitu cha namna hii. Ijue biashara unayatoka kuifanya A to Z.
 
Daniel Senzia

New Member
Nov 10, 2020
2
45
Habari wana jamvi!

Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa.

Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya paper ni nzuri, bei nk nitashukuru sana kama mtanisaidia kunipa hizo taarifa
Habari, Naitwa Daniel Senzia; kwa sasa makazi yangu yako South Africa nilikuja huku kama mwanafunzi na nikaona opportunities nyingi huku; nimefanikiwa kufungua biashara ya usafirishaji wa magari na mizigo mbali mbali kuja Tanzania. Dhumuni la kujitambulisha ni kuondoa shaka ya kwamba naweza kukuletea huu mzigo kwako Tanzania na pia nilipata mteja aliyeuliza bei za a4 huku nikampatia so nina information yote pamoja na mawasiliano na manufuctures wa huku
Aliko Dangote alishawahi kushauri kitu cha namna hii. Ijue biashara unayatoka kuifanya A to Z.

. Nimefanya hii biashara kwa jumla ya miaka mitatu sasa na nimesalijiwa south africa pamoja na visa ya biashara ya kutoa mizigo nje ya nchi na ndani ya nchi. Kwa uhakiki wako tupo instagram kwa jina la broadfield automotives na pia facebook, email yangu ni daniel@broadfieldgroup.co.za na number zangu za simu ninaweza kukupatia DM unaweza nipata kwa whatsapp. Kama utakuwa bado unahitaji hii mashine usisite kunitafuta. Natanguliza Shukrani za dhati. Asante.
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
6,329
2,000
Kuna rafiki yangu miaka 7 hivi iliopita alikuwa na idea kama yako. Yeye alileta containers 7! Nilikuwa nae bega kwa bega. Aliangukia pua! Ilikuwaje?
Karatasi ni kama biashara ya mafuta au sukari. Ina Wahindi wameishika ukiingia mtu mpya wakihisi unaweza kuwa tishio wanauwezo wa ku flood market bei ikashuka kuliko ulivyonunua ndio kilimtokea jamaa yangu. Miaka mingi imepita sijui sasa hivi hali ikoje.
Dah aisee huyo jamaa yako alichemka

Vitu kama hivi na kwenye mazingira kama hayo sio kukaa navyo kariakoo au kwenye frame, ni kuingia site one-way

Yaani kuna vyuo viwili tu angetafuta agents kwa namna niijuavyo hiyo biashara mpaka leo asingekaa aiache.

Huo uhuni ulikua kipindi cha Kikwete, ni kweli michezo michafu ilikua inafanywa na wahindi kwenye hii biashara ila saivi ni zilipendwa sababu mazingira ya biashara yapo leveled.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom