biashara

  1. MSHINO

    Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Tangu awamu ya 5 ya Rais wetu JPM iingie madarakani imekuwa ikitoa kipaumbele kwa wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. Pamoja na malengo mazuri ya serikali kuwasaidia wamachinga lakini pia wafanyabiashara wenye maduka nao wanatakiwa kuwekewa mazingira mazuri ya kufanya biashara...
  2. Sam Gidori

    Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (1)

    Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako? Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa biashara ya mtandaoni ambao umewawezesha wafanyabiashara kuwafikia mamilioni ya wateja kwa urahisi...
  3. J

    Freeman Mbowe anatosha kuwa Waziri wa viwanda na biashara, ni mtu wa mikakati anayejua mahitaji ya soko kwa wakati!

    Itoshe tu kusema nafasi ya waziri wa viwanda na biashara ingemfaa sana Mh Freeman Mbowe. Sisemi kwamba aliyopo hafai bali ninachosema Mbowe ana kila sifa ya kuweza kushika nafasi hiyo katika dunia ya sasa yenye ushindani wa " kuviziana". Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo hayana vyama!
  4. H

    Naomba kujua bei ya kahawa na mikoa inakopatikana

    Habari wana Jamii forum, Naomba kuuliza kwa anaefahamu, naomba kujua bei ya kahawa na ni mikoa gani inapatikana kwa wingi hapa Tanzania. Ahsanteni.
  5. J

    Waziri wa Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe atembelea Maonesho ya Wajasiriamali na kukagua bidhaa

    Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam. Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika. Maonesho hayo...
  6. Babu Kijiwe

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
  7. Edsger wybe Dijkstra

    Eneo la kufungua biashara ya huduma za ufundi simu, laptop, smart Tv nk kwa Dar kwa mwenye mtaji mdogo

    Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu yenye idadi kubwa ya watu na bei ya frem iwe chini sana angalau isizidi elfu 50 kwa mwezi, msaada mimi...
  8. Nafaka

    Biashara ya kuuza dawa za kulevya inalipa sana haitokaa iishe duniani

    Leo nilikuwa ninatazama documentary mpya kabisa ya DW imetoka mwezi huu ambapo mwandishi wa habari na camera man wake walizama columbia wakiwa na jeshi la kupambana na biashara za dawa za kulevya kuchukua matukio. Kule ndipo zao linalimwa milimani na maporini, halafu huko huko linavunwa na...
  9. Wakusoma 12

    Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  10. B

    Balozi Dr. W. Slaa: Azungumzia Diplomasia ya kupatiwa Maendeleo hadi Diplomasia ya Uchumi na Biashara

    The Exclusive Interview | Hon. Dr. W. Slaa, Tanzania Ambassador in Sweden Mh. Balozi Dr. W. Slaa anayeiwakilisha Tanzania nchini Sweden azungumzia ngazi za diplomasia toka diplomasia ya utegemezi ili kuletewa Maendeleo mpaka kugeuka diplomasia ya Uchumi na Biashara. Mh. Balozi Slaa anafafanua...
  11. D

    DED Manispaa ya Morogoro mbona Devotha Minja ulimuweza, unashindwa nini kupambana na mchwa wala rushwa za leseni za biashara?

    Maafisa biashara wanaofunga maduka ya wafanyabiashara wasio na leseni za biashara au ambaio leseni zimeisha wanachukua rushwa ya TZS 20,000. Ukishindwa wanafunga duka mpaka utakapo wapelekea wanakuja kufugua. DED fanya kazi kama Mhe. Magufuli pita Kata zote walizopita maafisa biashara wako...
  12. Masokotz

    ACHA VISINGIZIO-Anza ulipo, na ulicho nacho ila Ujiandae-Fanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

    Habari za wakati; Watu wengi sana wana ndoto za kuwa wafanyabiashra na wajasiriamali.Leo nataka nisisitize jambo moja la muhimu sana ambalo kila mjasiriamlai tarajali anapaswa kulifahamu na kulielewa.ACHA VISINGIZIO. Watu wengi sana huwa hujikuta wakishindwa kufanikiwa katika biasahara na...
  13. Infantry Soldier

    Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huko? Ni biashara pekee ama kuna njia nyingine?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Dini ya Uislam iliwezaje kuenea kwa wingi "Sub Saharan Africa" ilhali waarabu hawakuwa na makoloni huku? Ni kupitia biashara pekee ama kuna njia nyingine za ziada zilitumika? Orodha ifuatayo ni baadhi tu...
  14. B

    Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

    Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu humu JF. Karibuni kwa maujuzi.
  15. alphaMAPHIE

    Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

    Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile. Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na 1...
  16. David Mgeni

    Ufafanuzi kuhusu thread yangu ya kununua wazo la biashara

    Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa! Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious tunajadiliana naomba watu mjue kuhusu kiwango ambacho ninacho kinafit kwa wazo dogo na hata kubwa half of one...
  17. David Mgeni

    Nanunua wazo la biashara

    Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au tunakuwa na ubia pamoja niko serious mambo ya utani hayatakiwi
  18. K

    Jengo la Biashara ndani ya ekari moja linauzwa

    Habari Wadau. Nauza Showroom yenye details zifuatazo: Eneo Lilipo : Kibaigwa Mjini linapakana na barabara ya Dodoma karibu na Sheli ya Olympic Eneo linapakana na barabara kubwa ya Dodoma.showroom iliyopo tulikodishia kampuni ya kuuza matractor. Eneo lina ubkuwa wa ekari moja. Documents: Eneo...
  19. Afrolink-Tz Consult Ltd

    MAKALA: Falsafa ya biashara ili kuleta tija na mafanikio kibiashara

    Falsafa ya biashara ni nini? Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya utendaji. Falsafa ya biashara inaelezea kusudi la biashara na malengo yake. Inaweza pia kuorodhesha...
  20. Red Giant

    Kwanini Tanzania hatuna biashara zenye mfumo wa chain?

    Kwanini hatuna biashara ambayo unaweza ikuta imeenea nchi nzima? Mfano biashara za wenzetu kama walmart au unakuta kuna pharmacy zimejaa nchi nzima kama Walgreens au CVS. Unakuta kuna maduka ya electronics, vinywwji. nguo au spare parts yamesambaa nchi nzima. Yanatumia brand moja na quality ya...
Back
Top Bottom