Nianze na biashara gani kati ya hizi?

Nianze na biashara gani kati ya hizi?

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,404
Habari wakuu

Kwa lengo la kuongeza kipato. Nimekaa na kutafakari nikapata mawazo kwa matatu ya kuongeza kipato kutokana na kiasi kidogo cha pesa nilichonacho.

1: Nimewaza kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda part time job.

2: Kufungua ki duka cha sandals za kike na za kiume za dukani ( nimefanya research ndogo ya price kutoka kwa wholesaler to customer) location makumbusho stand.

3: Kufungua belo za Mtumba za ladies mixer hapa belo moja linauzwa 160,000 na Lina pair 45 ( location makumbusho stand)

Naomba ushauri wako kwa uzoefu wako au kwa namna nyingine naweza ongeza kipato.

Note: Siwezi kubeti siwezi fanya biashara ambayo siioni.
 
Hili belo la ladies mixer ni nini?viatu ama
Linauzwa wapi kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom